Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au kuvaa bikini kabisaKumbe na wewe msukuma....
View attachment 784901 View attachment 784903 View attachment 784904 View attachment 784905
Mnakoelekea ninyi sasa...mtatuambia tuanze kuweka na masponji kwenye boxer...
Kwa kosa la ndevu etiTulifunga ndoa ya kimila, kanisani na bomani nitakuacha vipi?
kwamba hamtatoa nyapu au?Tumewaacha tutawanyoosha vitandani
Potelea mbali hata tukiwa wengi ili mradi analala kwangu mi roho yangu iko barida kabisaKakupendea 0 kakupendea tabia?!
Magna 0 kila mtu ananyoa
Kama kakupenda 0 ujue mpo wengi
Hubby uko peke yakoPotelea mbali hata tukiwa wengi ili mradi analala kwangu mi roho yangu iko barida kabisa
Najua wife... Nacheza na wajukuu wetu tu.Hubby uko peke yako
Kusema kweli niwe tu mkweli mimi mwanaume anaefuga midevu kama Rick Ross wala simpendi, hanipi hata mzuka
Kwanini usikate Madevu yako jamaa
Naelewa Naelewa sijazaliwa jana ujue, Naelewa kazi ya Madevu kit and ani, yanatoa raha na kutekenya lkn doh!
Ila Wanaume went Madevu ni wachaaafuu, mana kama juu ( kaskazini) ana midevu kusini je?!
Naombeni Wanaume wenye Madevu mkate Madevu yenu, kuna style nzuri tu za kukata madevu yanayosaidia kwenye gemu kama style ya Beberu hehehe
Ni hayo tu kwa sasa. ..
I stand to be corrected!
Like I said ni ushauri tu hatugombani
Akina Osama na Rick Ross Mupooo?!
Wapi nimekupa povu hadi ushukuru? Maana sijatokea bafuni au kufua useme nina povu. Tumia lugha vizuri Kiswahili kikue.Aisee asante kwa povu
Hahahaha......kazi unayo
Hahahahaha hatuwataki
Umeajiriwa kuwa jeuri au?Kikuze mwenyewe
Wameshindwa akina Mpoto utaweza wewe
Uje huku Wapenzi wa 'garden love' nyoosha kidole juu