Ushauri kwa wanaotaka kusoma PCB au CBG

Ushauri kwa wanaotaka kusoma PCB au CBG

Nilisoma PCB nikaapa ctasoma science tena kamwe maana niliona ni kama kutwanga maji kwenye kinu
 
inaonekana hiyo comb ulikuwa huipendi. . .ni vyema kusoma kitu unachokipenda. . .unakiweza. . .na una malengo nacho. japo daa mi mwenyewe hiyo combi ni physics tu ndio ilikuwa tatizo yani kungekuwa na paper 3 ya practical kabisa yani ningefeli maana siku ya pepa niliingia lab nimekalili possibles zote
 
inaonekana sciece tatizo kwa wengi. . .kumbe siko peke yangu.

Kweli tupo tofauti mkuu, nilimaliza kibaha form 6 PCB niliigaragaza vibaya nilinyuka div 1:4.... Kifupi hakuna kitu kigumu ni juhudi zako binafsi tu.
 
Elimu bora ni ile ya form four. Huku pengine huku mmmmmmmm
 
Kweli tupo tofauti mkuu, nilimaliza kibaha form 6 PCB niliigaragaza vibaya nilinyuka div 1:4.... Kifupi hakuna kitu kigumu ni juhudi zako binafsi tu.

ndio maana nimesema waende kwanza form5 wakiona mambo hayapandi kichwani wachape lapa . . . . kusoma kibaha sio haba mkuu hongera...
 
Sitakaa niisahau PGM Maishani mwangu......kudadeki.....imenifanyia kitu kibaya sana......

Dah! Mkuu nmecheka sana sio kwa ubaya ila pole sana!!,
Combination za science bana ni majanga sana mi nina ndugu yangu tuliachana 4m 4 yeye akijafanya nunda kaenda kupga pcb huko matokeo yakamtema ss anamalizia kusoma dip ya crop production wakat mi nlienda kupga certificate yang ya general agriculture!! Ss ukiangalia mi naonaga ni kupoteza muda 2yrs advance then 2yrs diploma agrrr lakn ndo elimu hiyo!!
 
ni rahisi ndio ila kwa sisi wa akili za shake before use hapo sio rahisi.

Ni kweli mkuu umeongea kweli, mdogo wangu nilimwambia aende chuo kuliko kupoteza muda a level.... Ingawa mm PCB nimefaulu vzr ila mziki wake sio wa kitoto.
 
mkuu haya mambo mtu unaanza prepo saa2 unastuka umetoboa mpaka asubuhi si mchezo.
 
Acha kabisa ukikubali kusoma PCB lazima ujitoe kiroho na kimwili ukubali kuteseka, ukiendekeza ubitozi ziro inakusubiri.
 
mi kiukweli niliikatia tamaa nikiwa form5 ila nilipofika 6 Mungu alisaidia japo sikutimiza lengo maana nilitamani kupata hata div II nikaangukia III japo nilikuwa nasoma mpaka mafua.
 
Huetendei haki PCB unapoweka level sawa na CBG. ..

All in all inasomeka. . Tu. . Nakumbuka mimi niliweka camp tambaza msikitini. .tulikuwa wengi. . Vijana wa shule za upanga ..kuanzia azania. . Tambaza. .mzizima. .. almuntazir. .. Kuna jamaa walikuwa wakija kuswali kutoka muhimbili wanatupa moyo walipitia njia hihi tuliyopo. ..

Muhimu vijana muangalie company ... marafiki maneno ya watu. . Visiwakatishe tamaa. ..

Sisi tulikaa katika nyumba ya ibada tuliepuka na vishawaishi vingi sana. .. nä vijana wote walifaulu. ..

Weka issue za mademu. .au kutafuta mabwana pembeni ... focus ...utafika
 
Sawasawa mzee wa Tazama Mbali Zaidi....kambi ya msikitini ilikuwa balaa...hivi badae si ilikumbwa na dhahama ya kubomolewa kutokana na mgogoro wa ardhi ama?
 
Kweli tupo tofauti mkuu, nilimaliza kibaha form 6 PCB niliigaragaza vibaya nilinyuka div 1:4.... Kifupi hakuna kitu kigumu ni juhudi zako binafsi tu.

Na sasa ni geographer ama anthropologist? Nasema hivyo kutokana na kujiita 'David Harvey'.
 
Back
Top Bottom