Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,186
- 3,421
Tambaza na physics ya mjuni na yule babu haahah lazima utage
Physics enzi hizo alikuwa anafundisha mzee wa vitenge a.k.a Israel Nkongo Mujuni ambae ni refalii
Tambaza na physics ya mjuni na yule babu haahah lazima utage
Physics enzi hizo alikuwa anafundisha mzee wa vitenge a.k.a Israel Nkongo Mujuni ambae ni refalii[/QUOT
Ulipita tambaza mkuu.
Kwa private sidhani maana mm nimemaliza c.o nikakaa two years nikaingia kusoma md na wamenambia wanahitahi GPA ya kwanzia 3.5 mm nina 4 nikawapa mkuu.Ndoo hataaa mimii nilichowaambiaa wadauu kwelii nduguu six inasaidia sana
Kuna jamaa yeye kichwa chake toka O'level alikuwa na uwezo wa kusoma PCB kwenye mchepuo akachagua PCM kilichotokea alipata "S" zote kitu ambacho ni maumivu kabisa.Kwa kweli mara nyingi huwa najiuliza inakuwaje PCB au CBG matokeo huwa tofauti sana. Yaani MSULI Tembo matokeo KASISIMIZI.Ukijitahidi sana unakuta mtu kaambulia 'E' moja na 'S'ni bonge la ushauri mkuu wakati mwingne advance inapoteza sana ndoto za wanafunzi nakumbuka kuna raafik yangu alikuwa pcb .tulipoingia form 6 akaanza kujiita dokta kabla hata hajafanya necta na kiukweli alikuwa anapenda sana hyo fani.baada ya kufanya paper akaamb ulia S' 4 na E moja
Shida huwa kwenye jinsi ya kujibu maswaliKuna jamaa yeye kichwa chake toka O'level alikuwa na uwezo wa kusoma PCB kwenye mchepuo akachagua PCM kilichotokea alipata "S" zote kitu ambacho ni maumivu kabisa.Kwa kweli mara nyingi huwa najiuliza inakuwaje PCB au CBG matokeo huwa tofauti sana. Yaani MSULI Tembo matokeo KASISIMIZI.Ukijitahidi sana unakuta mtu kaambulia 'E' moja na 'S'
Mmmh! kwa hiyo wanameza matango pori na kuyashusha kwenye AnswerSheet kama yalivyo pasipo kuyachambuaShida huwa kwenye jinsi ya kujibu maswali