Shule zipi nzuri kwa PCB?

yello masai

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
3,542
3,502
Salaam wakuu!
Naomba kujua ni shule zipi bora kwa masomo ya Physics, Chemistry na Biology (PCB) kwa A-level.
Mwanafunzi ni wa kike, kwahiyo shule inaweza kuwa mchanganyiko au girls tu.

NB: Nahitaji shule za binafsi (private).
 
Shule za Private nzuri walishafanya usaili toka February 2023 na wanafunzi wanamalizia pre form V. Na shule nzuri zote zile top ndiyo zinachukua wanafunzi point 7-9. Na combination uwe Una A na B kila somo. Wengine hata B wanachukua hatihati. Mfano mwaka huu Physics haikufanya vizuri Sana. Hivyo wamechukua A, B na kama ni C ni lazima upate Biology A,B na Chemistry A ,B. Shule za wastani hata interview hawana ila pre form V nyingi zimeanza. Orodha ifuatayo ni shule nzuri kwa PCB za Ada ya wastani (4.5m-7m).
1. Ahmes hii ni mchanganyiko
2. St. Mary's Mazinde Juu girls only
3. Bright Future girls only
4. Canossa girls only
 
Salaam wakuu!
Naomba kujua ni shule zipi bora kwa masomo ya Physics, Chemistry na Biology (PCB) kwa A-level.
Mwanafunzi ni wa kike, kwahiyo shule inaweza kuwa mchanganyiko au girls tu.

NB: Nahitaji shule za binafsi (private).
Kama mtoto wako amepata one kali 7_10 wewe tafuta namba ya shule ongea na Sister wa Mazinde kijana anaingia bila tabu. Form 5 wanaenda tarehe 19/6 . Ila akipata shule mwanao wale watoto wasoma si mchezo
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom