Ushauri kwa wanaotaka kusoma PCB au CBG

Ushauri kwa wanaotaka kusoma PCB au CBG

Sawasawa mzee wa Tazama Mbali Zaidi....kambi ya msikitini ilikuwa balaa...hivi badae si ilikumbwa na dhahama ya kubomolewa kutokana na mgogoro wa ardhi ama?

Hapana haikuwa ndani ya shule. .Bali msikiti wa tambaza ule uliukuwa karibu na muhimbili primary school. .

Tatizo vijana wa sasa wanaanza ngono wakiwa wadogo sana. .. ndio maana combination zinazohitaji utulivu hawawezi. ..
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Nilichaguliwa Pugu miaka hiyo kusomea PCB, lakini kwa kuwa nilikariri PCB kufaulu lzm uisomee Mzumbe au Ilboru nikaamua kuachana na Pugu na kwenda kusomea EGM ktk private school. Ndoto za kuwa Daktari ziliyeyukia hapo na kufungua njia mpya kuelekea kwenye uchumi na takwimu. Mpaka sasa natamani Mola anijaalie kijana atakaeweza kuwa Daktari. By the way , Danny Na njiwa , Tuition centre zenye walimu wazuri Kama kina mwalimu muddy enzi zile hapa Dar inapatikana wapi?
 
Last edited by a moderator:
mi kiukweli niliikatia tamaa nikiwa form5 ila nilipofika 6 Mungu alisaidia japo sikutimiza lengo maana nilitamani kupata hata div II nikaangukia III japo nilikuwa nasoma mpaka mafua.

Shule nazo zinachangia kuvuruga malengo ya watu hasa hizi a level za kata, 2004 tulikuwa kama 12 tulichaguliwa special school wote tulitimiza ndoto zetu bt marafik zetu 14 waliochaguliwa shule za kawaida halafu ziko maporini huko wote waliofeli na akili walikuwa nazo. Unataka usome comb za science tafuta shule nzuri hata private
 
Na sasa ni geographer ama anthropologist? Nasema hivyo kutokana na kujiita 'David Harvey'.

Hahahahahaha Sasa hivi Ni Dr ila nimekuwa mfanyabishara huru napiga pesa zaidi ya hospital
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Nilichaguliwa Pugu miaka hiyo kusomea PCB, lakini kwa kuwa nilikariri PCB kufaulu lzm uisomee Mzumbe au Ilboru nikaamua kuachana na Pugu na kwenda kusomea EGM ktk private school. Ndoto za kuwa Daktari ziliyeyukia hapo na kufungua njia mpya kuelekea kwenye uchumi na takwimu. Mpaka sasa natamani Mola anijaalie kijana atakaeweza kuwa Daktari. By the way , Danny Na njiwa , Tuition centre zenye walimu wazuri Kama kina mwalimu muddy enzi zile hapa Dar inapatikana wapi?

Niliondoka tz 2006 .. kusoma udactari ughaibuni. .. nlirudi tz 2013 nkakaa muhimbili for a while miezi nane hivi .. nkaondoka tena. .. sina uhakika kuhusu tuitions ila enzi zile. .. mama shija chemistry. .. makumaku alikuwa makongo biology sanasana ile mitihani yake ya weekends ... physics tulikuwa tukikomaa tu wenyewe .. si unajua sisi wa PCB nå physics hatukuipa uzito vile ...
 
Last edited by a moderator:
Shule nazo zinachangia kuvuruga malengo ya watu hasa hizi a level za kata, 2004 tulikuwa kama 12 tulichaguliwa special school wote tulitimiza ndoto zetu bt marafik zetu 14 waliochaguliwa shule za kawaida halafu ziko maporini huko wote waliofeli na akili walikuwa nazo. Unataka usome comb za science tafuta shule nzuri hata private

kweli mkuu kuna shule nyingine ni shida tupu yani unakuta darasani wala hakuna challenge ya kukufanya uongeze juhudi matokeo yake ndio kefeli.
 
Nilichaguliwa Pugu miaka hiyo kusomea PCB, lakini kwa kuwa nilikariri PCB kufaulu lzm uisomee Mzumbe au Ilboru nikaamua kuachana na Pugu na kwenda kusomea EGM ktk private school. Ndoto za kuwa Daktari ziliyeyukia hapo na kufungua njia mpya kuelekea kwenye uchumi na takwimu. Mpaka sasa natamani Mola anijaalie kijana atakaeweza kuwa Daktari. By the way , Danny Na njiwa , Tuition centre zenye walimu wazuri Kama kina mwalimu muddy enzi zile hapa Dar inapatikana wapi?

Muddy bado yupo. wote kina Mandia, Issue boy, Ngaiza, Unga. centre zilezile ;Shule ya msingi mwenge pale jirani utamkuta Muddy. wengine wapo mchikichini.
 
Last edited by a moderator:
Muddy bado yupo. wote kina Mandia, Issue boy, Ngaiza, Unga. centre zilezile ;Shule ya msingi mwenge pale jirani utamkuta Muddy. wengine wapo mchikichini.

Nasikia mchikichini yote inataka kubomolewa ndio maana wakina muddy na mbuga, ngaiza wote wamehama wako juu kbs uku boma nyuma ya sheli ya calmel
 
Wamajamvi salaam kwenu wakuu.
Mwezi wa saba wanafunzi wengi wataanza masomo ya Advance. hata kama sio wewe yawezekana akawa ni rafiki yako, ndugu yako au hata mtoto wako anataka kaja kuwa DAKTARI au MFAMASIA basi ni vyema kujua hali ya kitaaluma ya shule utakayopangiwa.
ninamaanisha kuwa kuna watu wengi waliofaulu vizuri form 4 lakini wakafeli vibaya form6 au kuwa ufaulu finyu.
wanafunzi wengi wa science A level wanategemea tuition na wanafaulu kupitia huko. Shule nyingi walimu hawafundishi vizuri na pia unakuta hata vitabu husika maktaba havipo.
sasa mzazi anaingia gharama kumnunulia mwanaye vitabu na ada za tuition ambazo ni ghali si kama vya O Level.
ni mazingira ambayo nimeyaona mwenyewe pindi nikiwa shuleni lakini na kusikia malalamiko kwa watu wengine ambapo licha ya jitihada nyingi wengi wameishia kufeli.
Science sio mchezo hasa PCB japo tumetofautiana uwezo kiakili.

ukiona tangu umeingia Form 5 umesoma miezi 7 (mpaka mwakani mwezi wa tatu) lakini ufaulu wako unasua sua achana na hiyo shule. .maana huko unakoenda ndio kugumu zaidi. SURELY
MTU HUYO NINAMSHAURI AKASOME DIPLOMA YA COURSE ANAYOIPENDA MFANO CLINICAL MEDICINE ukutoka huko unapata kazi na pia unaweza kwenda kusomea degree ya MD- UDAKTARI/ MEDICAL DOCTOR.
wengi wanaosoma PCB au CBG wanapenda kuwa madaktari lakini sio siri shule huwa zinazima ndoto za wengi.Mtu anasoma kwa bidii lakini bado anafeli. Sasa kuliko kupoteza muda wa miaka miwili na pesa ni vyema kujaribu Diploma.
Sijui ugumu wa diploma lakini wengi wanasoma wanasema kuna unafuu.

jamani ni ushauri tu maana nimeona wengi wa dizaini hiyo walivyopata shida.
Kusoma diploma haimaanishi umefeli ni njia mojawapo tu ya kuelimika na kufaidi matunda ya elimu yako.
Tafakari mara mbili kisha kuchua hatua.

Nawasilisha.

Umeshauri vizur sanaaaaaa..., najua watakaokuelewa, au watakaochukua hatua ni wachache, nimepita advance na degree pia, mi ni shuhuda wa haya, sikufel, lakini nilipotokelezea ni bora ningesoma hiyo diploma nikaanza maisha mapema
 
Nasikia mchikichini yote inataka kubomolewa ndio maana wakina muddy na mbuga, ngaiza wote wamehama wako juu kbs uku boma nyuma ya sheli ya calmel

nilikuwa sijui hilo maana ni zaidi ya mwaka sasa nipo nje ya dar es salaam
 
Umeshauri vizur sanaaaaaa..., najua watakaokuelewa, au watakaochukua hatua ni wachache, nimepita advance na degree pia, mi ni shuhuda wa haya, sikufel, lakini nilipotokelezea ni bora ningesoma hiyo diploma nikaanza maisha mapema

ofcoz ni bora kijulishana tu mapema maana wanafunzi wengi wanapochaguliwa comb kama PCM, PCB, au PGM huwa wanafirahi sana pengine ni kutokana tu na tittle ya comb mtu anajiona yeye ndio yeye hajui kuna kufeli.
 
Hapana haikuwa ndani ya shule. .Bali msikiti wa tambaza ule uliukuwa karibu na muhimbili primary school. .

Tatizo vijana wa sasa wanaanza ngono wakiwa wadogo sana. .. ndio maana combination zinazohitaji utulivu hawawezi. ..

Najua ilipokuwa hiyo kambi...karibu kulikuwa na makaburi, ambayo yalikuwa kwenye ardhi yenye mgogoro. Ndiyo maana nikaongelea juu ya kama kambi hiyo bado ipo au lah!!
 
Najua ilipokuwa hiyo kambi...karibu kulikuwa na makaburi, ambayo yalikuwa kwenye ardhi yenye mgogoro. Ndiyo maana nikaongelea juu ya kama kambi hiyo bado ipo au lah!!
hahaha tambaza kijijini au kijiji cha mama tambaza. .. unajua hadi wanafunzi wa muhimbili univeriisty walikuwa wanaishi pale kijijini? .... mwaka jana August kabla sijaondoka TZ niliacha hiyo kambi bado ipo.... ila kijiji kile hakijachangamka kama ilipokuwa zamani ...although bado wapowapo wanafunzi
 
Back
Top Bottom