GeoMex
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 5,431
- 20,063
Ndio. Ukimaliza kudo na muathirika unakimbia kuoga fasta halafu unakojoa. Virusi vyote vinatoka........J.Zumaipi hiyo? ile ya kuoga kwa shower na sabuni mara baada ya tendo au?
Ndio. Ukimaliza kudo na muathirika unakimbia kuoga fasta halafu unakojoa. Virusi vyote vinatoka........J.Zumaipi hiyo? ile ya kuoga kwa shower na sabuni mara baada ya tendo au?
Public partmwendokasi tano kubwa duuh!! hizo sio private parts tena...
Kwa kua ukimwi unaambukizwa kwa kunyanyua vyumaGuys mi sijawahi kutumia kinga aisee. Na kuambukizwa ukimwi ni kazi sio ndogo
Sijaelewa kwani dar kuna mgold?barrick iko wapi?mbona huyo wa barrick umemtaja sana kuliko hao 40?ina maana yeye pekee ndio ana kacheo ka kutangazwa sababu wengine inaweza kuwa ni housegirls,mama lishe,wauza matunda etc?
Hili neno maana yake nn? expeterate
Usihofu siku hizi kuna ARVsWana JF wenzangu napenda ushauri wenu
Mimi nina 35 yrs na ni baba wa watoto wanne. Bahati mbaya nimetengana na mama yao ndani ya miaka 2 iliyopita. Naishi Dar mwaka huu wa15.
Tangu naingia kwa kweli nimetembea na wanawake nisiojua idadi yao wanaeza wakajaa mwendokasi 5 kubwa, Mungu nisamehe. Lakini tangu hapo mwanzoni sikuwahi fanya mapenzi bila kinga miaka yote na nilipokuwa namsikia mwanaume mwenzangu akisema kafanya bila kinga nilimuona mtu wa ajabu na huenda aliefanya nae kamutoa Buguruni au Ambiance.
Sasa baada ya kutengana na mama watoto wangu nilikutana mdada mmoja anafanya kazi Barrick Gold Mining as an expeterate, she is 34. Basi nikaanza nae baada ya kupima ila mimi licha ya kupima sikuwa tayari kufanya bila kinga. Mwisho wa siku nimejikuta nimeenda bila kinga sasa baada ya hapo nimeshindwa kujizuia kila nikikutana nae situmii kinga.
Sielewi ni shetani gani huyu mpaka sasa baada ya kutengana na mama watoto nimetembea na wanawake karibu 40 bila kinga.
Ushauri ndugu zangu awali sikuwa hivo
Sawa wewe endelea tu kuyachezea kamari maisha yako,mpaka uje kuzinduka itakua too late!Mtu uliezoea kutumia ndomu ukija kuacha hutokaa urudie tena.. Yaani siku ukiivaa unaona kama unapoteza mda wako bure. Mi niliacha kutumia mda tu.. Besides wadada wengi hawataki kabisa kusikia hiyo kitu..!
mkuu unawazarau mamalishe??wale hawanaga nyodo kitandani nikutaarifu,,akiamua kuvua chupi anakupa yote,,anakupa ushirikiano unapata ladha hasa ya uchi wa mwanamke,,,mkimaliza unaenda nae bafuni anakuogesha vizuri na mahaba kedekede,,sio hawa wanao fake maisha unamkuna yeye ameshika msumsang wake huko eti anauliza bado tuu.......Sijaelewa kwani dar kuna mgold?barrick iko wapi?mbona huyo wa barrick umemtaja sana kuliko hao 40?ina maana yeye pekee ndio ana kacheo ka kutangazwa sababu wengine inaweza kuwa ni housegirls,mama lishe,wauza matunda etc?
Hili neno maana yake nn? expeterate