Meljons
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 3,105
- 1,410
Salaam wanajamvi. Nilijifungua kwa operation wiki4 zilizopita (ya mlalo chini) ila mpaka leo bado hapajafunga japo hapaumi, wiki hii kuna sehemu palikuwa panatoa maji kidogo sana ila tangu jana hayatoki... Najiuliza pia niliambiwa nioge maji mwili wote tangu siku ya 9, labda ndo sababu ya kuchelewa kupona au vp?
Na je ni zipi hints za kupona mapema?
Hii ni CS ya pili, ya kwanza ilipona mapema sana.
Wazoefu naombeni ushauri
Na je ni zipi hints za kupona mapema?
Hii ni CS ya pili, ya kwanza ilipona mapema sana.
Wazoefu naombeni ushauri