Mbona me mwenyewe nipo Kisasa Ndo home na Avatar mok
Me nafanya registration then narud home
Aisee unanipa munkari wa UDOM hebu nielezee hata maajabu matatu ya UDOM.
Nitakusaidia haya: Ni chuo ambacho college zake zote 6 zipo chini ya vilele vya milima. Nyakati za mvua mandhari yake inakuwa nzuri kwa sababu ya maeneo college hizo zilivyojengwa....
Ni chuo ambacho huwezi kutembea kwa miguu ukakimaliza iwe kwa College moja ama zote 6.
Wow. .ila leo nimetembea kutoka social science hadi crdb bank kwenda na kurudi ila sio na barabara ni vichochoro
Hehe! nahic tulikutana vichochoroni somewhere ukaniuliza kama nafaham iliko benk ya CRDB!! kama sio wewe bac samahani!
Ukianzisha uzi (thread) ili iweze kukaa on top inapaswa iwe na wachangiaji wengi wanaochangia mara kwa mara, la sivyo itashuka chini na kusogezwa page zinazofuata, kingine kama kuna nyuzi mpya nyingi basi yako poa itasogezwa ukurasa unaofuatia.Salamu mkuu, ebhana kuna kitu sikielewi humu ndani.. Iko hivi.. kila nikileta maada humu jukwaan hazikai kwa muda mrefu zilishapotea, na sio kwamba labda zinakuwa zipo kinyume na terms/conditions hapana. Ukiachana na hilo pia nakuwa nashangazwa na kitu kinachotokea kwenye topic zangu...yaani nakuwa nashangaa kukuta mtu katumia ID yangu na ka-edit title ya topic yangu na ndan kaweka content anayoijua mwenyewe, pia sielewi kwanin kila maada ninayotengeza inashushwa chini kias cha kupotea kwenye first page, ni kip kifanyike ili topic yangu pia ikae on top kama nyingine? Msaada tafadhali!