Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

Mtaalam mimi mwenyewe mmoja wao..mafungu yote matatu sioni jina...BSc in phy...
 
Nashukuru Kwa ushauri wako,Naomi nitamshauri ndugu Yangu, ila naomba mnisaidie, eti bodies ya mikopo wanaendelea kupokea maombi Kwa wale waliochaguliwa diploma udom?
 

MAKOLE jibu lako linahitajika
 
Last edited by a moderator:

Mimi kama avatar mok nilishakaaga usiku mmoja mule.. kuna vitanda viwili double DECA na kabati lenye roka nne
 
Kumbe ndo namna hiyo aisee. ...hapo bila kusahau kununua mapazIa aisee
 
Hapo UDOM kama wameweka majina ya mkopo kwenye notes board tujuzane mapema bado siku tano za pressure kuhusu ada na direct cost!.
 
Vp kuhusu masuala ya michezo na burudani.kuna muda?.viwanja na vifaa vipo na je pako active ...maana Sie wengine ni kazi na dawa,otherwise tutadata.
 
Jamani ..mbona sielewi huu utaratibu.. jina lipo orodha ya Tcu. BSc in phy UDOM..nimefika chuoni naambiwa jina limerudishwa tcu..HAKUNA NOTIFICATION yoyote tcu bado inanionesha SELECTED
 

Hiyo CIVE unayosemea wewe ni ya mwaka gani?. GPA kubwa ilowahi patikana pale ni ya ngapi?.
mwalimu gani mzuri unayeweza jivunia pale cive. zaidi ya DEWA na MSELE, hao waliobaki ni majanga anzia mtaho, MASOUD, MRUTU. fakihi. etc

elimu ya extreme unaijua? namaanisha discrete math, digital electronics . routing protocol . kama umesoma pale utakua unajua nazungumzia nini.

Hivi cive huwa mna ratiba ya test, au ni mwalimu akijisikia?.

Magodoro siku hizi mnachukulia wapi?
vipi kuhusu suala la udini ? au siku hizi vikao vimekwisha kule education.

kila la heri mwana UDOM
 

Room watu wanne ila kama ukiwa fresh na waden hata peke yako utaishi tu, mavyumba kibaaaao, pia mwaweza kaa wa2 au wa3. loker kila mtu na lake usije ukabeba la bati. ukiishiwa bum utakula viazi na karanga tu
 
Room watu wanne ila kama ukiwa fresh na waden hata peke yako utaishi tu, mavyumba kibaaaao, pia mwaweza kaa wa2 au wa3. loker kila mtu na lake usije ukabeba la. ukiishiwa bum utakula viazi na karanga tu
HahaHaa hapo mwishoni tuuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…