Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,937
kwa wale wanaosoma collage ya natural science mbna cwasikii jamani.. nina maswali meng ya kuuliza please
aseee tutakua pamoja pale kwa prof. Ntalikwa.. upo koz gan ww
kwa wale wanaosoma collage ya natural science mbna cwasikii jamani.. nina maswali meng ya kuuliza please
hahaha poa poa nikajua ndo kiswaz chake icho... kumbe ni programmuulize kuwa yupo programu ipi? na SIYO COURSE ipi.....mfano ndani ya program ya BA-ED zipo kozi nyiiiingii
ndugu zangu vip collage ya natural science mpo kimya ..i have a lot of questions to ask... please
how about you??
YOUNGKATO
acha mbwembwe
bila mbwembwe za jogoo, tetea hasingeinama kuliwa mambo.
so the point is mbwembwe ni lazima kwa kidume kamili
tatizo una mbwembwe ze tetea
Naomba msaada kwa anae ielewa "Bachelor of education in Commerce" hapo Dom na vip kuhusu boom huwa wanatoa
Wadau nimepata tetesi humu jf kuwa kuna vyuo majina ya mkopo tayari,kama udom yakitoka wale wajuzi wa IT tafadhali yawekeni humu,simu yangu ya kichina siwezi kufungua pdf wala excel! tafadhali.