Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

Kaka tunashukuru kwa mwanga uliotupatia Namshukuru kwa kuchaguliwa Dodoma Mwenyezi mungu akubariki sana
 
:bump::bump::bump::bump::bump::bump::bump::bump:
 
kaka ninaomba ufahamu kuhusu hii facult bachelor of education with ict plz??
 
bro mbona una comment kama umetoka kunywa maji ya chooni,,fikiria uandikacho

niliwahi kusoma hapo. Miezi 6 sisomeki kwenye system. Nilipoanza kusomwa na system ,sikuwahi kufanya baadhi ya masomo system ikaonyesha nimefaulu hayo masomo.
Dodoma ni janga la kitaifa a.k.a chuo cha kata
 
kwa hiyo lugha uliyotumia...huna hadhi hata ya kumiliki cmu,ni kama teja aliyeokota dhahabu baadae atauza kwa bei ya hasara, (jifunze nidhamu)

ACHA umalaya wa fikra ,kumiliki simu sio kigezo kukufanya uwe na lugha nzuri. nahisi kwako wewe mzungu akisema ---- ,unafurahi sana .ila mie kusema ms?*7. ndio imekuwa nongwa kwako ,hadi umeenda kwenye umiliki wa simu.

Narudia kusema dodoma ni chuo cha kichoko.
nenda info (cive) uone kama wazenj wana feli.
We bado mtoto kojoa ukalale.
 
ACHA umalaya wa fikra ,kumiliki simu sio kigezo kukufanya uwe na lugha nzuri. nahisi kwako wewe mzungu akisema ---- ,unafurahi sana .ila mie kusema ms?*7. ndio imekuwa nongwa kwako ,hadi umeenda kwenye umiliki wa simu.

Narudia kusema dodoma ni chuo cha kichoko.
nenda info (cive) uone kama wazenj wana feli.
We bado mtoto kojoa ukalale.

sijaona uhusiano we maneno yako na chuo, inaonekana ndo wale mlioshindwa maisha mliokosa ajira baada ya chuo
 
Ndugu wanafunzi wenzangu, kwa majina ninaitwa Willbrod Burchad, ndo naingia mwaka wa 3 ktka chuo kikuu cha Dodoma, nipo college of humanities & social sciences. Mmi ndiye waziri wa mikopo katka college of humanities & social sciences.
Kama kiongozi na mwanafunzi mzoefu napenda kuwakaribisha sana wanafunzi wote mliochaguliwa katka chuo kikuu cha Dodoma. Lakini pia naomba niwafahamishe yafuatayo:

1. Kwa mwaka wa kwanza chuo kinafunguliwa tarehe 18/10 kwa mwaka wa pili na kuendelea tarehe 25/10 hivyo wakati mnaripoti mnaweza kuwakuta wanafunzi wachache wanaoendelea (continuing) ambao watakuwepo kwa ajili ya kurekebisha matokeo yao (supplementary). Hao wanaweza kuwaelekeza kwa namna moja ama nyingine.

2. Pia viongozi wa kila college(serikali ya wanafunzi) watakuwepo chuoni tayari kwa kuwapokea na kusaidiana na viongozi wa chuo kwa ajili ya kuwafanyia usajili (registration). Hivyo uwepo wa viongozi hao utakuwa ni msaada tosha kwenu.

3. Usafiri wa kwenda chuoni yaani kutoka Dodoma mjini kuja kwenda chuoni unataiwa kupata maelekezo baada ya kushuka katika stend kuu ya mabasi na kwenda stend ya daladala yaani Jamatini nauli ni sh 400-500 kulingana na college unayoenda na ukiwa na begi kubwa pia huwa linatozwa sh 500.

4. Chuo kikuu cha Dodoma kipo nje ya mji wa Dodoma takribani km 7. Unapoingia chuoni baada ya kuvuka lango kuu college ya kwanza ni college of humanities and social sciences, hivyo mnaombwa kuwa makini wakati wa kupanda daladala unapokuwa mjini kwani daradara zipo mara mbili yaani zinazoenda udom bonden (humanities and social sciences) na zile zinazoelekea education yaani ng'ong'ona (hizi zinapitia informatics, natural science, health science mpaka education).

Kwa ufupi haya ndo nimeona niwafahamishe nawe ukiwa na mwenzako, tafadhali muelekeze haya kwani ni muhimu. Kwa mara nyingine nawakaribisha sana sana sana katika chuo kikuu cha Dodoma InshaAllah mola akipenda tutakutana huko mwezi wa 10, kikubwa tuombe bodi ya mikopo iwatendee haki kwani hiyo ndo huwa kazi yangu tunapokuwa chuoni.

shukrani mkuu, tuombeane
 
Sasa Wajasi ndo mpango halafu wako Humanities na Education(ng'ong'ona) Earth Science nadhan wanakaa Informatics na kutoka info had education niliona km pana umbal flan,wenyeji tusaidien namna ya kuwafikia wajas kirahisi
 
niliwahi kusoma hapo. Miezi 6 sisomeki kwenye system. Nilipoanza kusomwa na system ,sikuwahi kufanya baadhi ya masomo system ikaonyesha nimefaulu hayo masomo.
Dodoma ni janga la kitaifa a.k.a chuo cha kata


Chuo cha kata ni ww na familia yako na ukoo wako wehu ww na cjui kama uligraduate ulidisco ww hujielewi kuanzia kichwan hadi miguun! Hizo za introduction to computer nawe unasema umesoma chuo kikuu acha kutapka boya ww. Nireport kwa mod kama umekacrika, tuliosoma pale na tupata tunu za udom ndio tunajua umuhimu na ubora wake udom kwa ----- asyefuatiria masomo lazma udisco na ukiondoka ndio mnaokuja kujaza rabishes jf na kwingineko, chuo cha kata nyumba yenu unayoish na familia yako tumbili mkubwa ww.
 
ACHA umalaya wa fikra ,kumiliki simu sio kigezo kukufanya uwe na lugha nzuri. nahisi kwako wewe mzungu akisema ---- ,unafurahi sana .ila mie kusema ms?*7. ndio imekuwa nongwa kwako ,hadi umeenda kwenye umiliki wa simu.

Narudia kusema dodoma ni chuo cha kichoko.
nenda info (cive) uone kama wazenj wana feli.
We bado mtoto kojoa ukalale.



CIVE unayoisema naifahamu sana mazombie wacheza game ndio wanafel kwa ufala wao na co ubaya wa chuo na ww kama ni mmoja wao lazma ulidisco na nakipongeza chuo kwa kuondoa mapema ------ ww mana ungeharibu cfa endapo ungegraduate ungeendeleza uajuza wako wakucheza game had kazin, course za computer zinahitaji mcngi mzur na mtu mbunifu na wakujituma co ww unatoka huko na EGM wit BBC (born b4 computer) unataka uwe software engeneering wap na wap ndugu. Ukichagua UDOM jiandae kusoma aswaa la cvyo utarud kwenu mapemaa afu ndio mmaokuja kutapka tapka takataka humu jf na social networks zingne. Sasa nasema hivii "WANAOSEMA UDOM CHUO CHA KATA, CHUO CHA KATA MAMA ZAO."
 
Utakuwa ---- wewe coz inaonesha we ndo ulienda UDOM kuendekeza umalaya cyo unasema ni chuo cha kata tena nitakutafuta nikuadhibu.
 
Ndugu wenyeji tusaidien jinsi ya kupata admission letter maana naona tuna log in inazingua


Kuwa mpole Ztapatka kwenye web ya chuo yan www.udom.ac.tz ndan ya system ya ALIS kama cjakosea hapo ni link ambayo itakupeleka sehem ya kulog in kwenye system hyo kwa kutumia form four index number na pswd surname kwa herufi kubwa.
 
Back
Top Bottom