kwa wale walofanikiwa kujiunga na chuo kikuu cha dodoma (udom) especially college of education kama una swali tupia hapa tukusaidie wenyeji wa ng'ox tupo guyz
nimechaguliwa udom 2015 .. sijui wanafungua lini ... sijui kuhusu accomodation ...sijaweza hata ku download application form maana nikijaribu ku login inakataa msaada RAISI WA CHUO:hail:
Ndugu yangu first year karibu sana UDOM, ikiwa kuna jambo unataka kulijua la UDOM kwenye college ya humanities and social science niulize nitakusaidia kwa kukujibu na kukupa ufafanuzi.KARIBU SANA UDOM
Wewe ndo unajiita mwanachuo kwelii:what::what::what: amesema college ya humanities na social science na wewe unauliza mambo ya college ya afya ..wapi naa wapi
naomba kufahamu kuhusu faculty ya educ with ict ikoje?kwan ikifka utachagua somo moja kati ya uliyosoma au hyo education inayozungumziwa ni ya ict pekee.