nina kampuni nyingi sanah na wewe ndo mfanya usafi wangu katika hizo ofisi zangu!
Vp kuna sehem ya gym karibu na chuo
inavyoonekana uliwah fanya usaf kwenye ofisi za watu ukapata kampuni ya kufanya usafi hongera bhana...
siwez bishana na wewe coz naona tarehe yako ya kujiunga jf hapo huna hata mwez humu ndani halafu na ww unajifanya unabamba! kweli nimeamin wewe ni mwanafunz wa UDOM kama sio mwanafunzi wa MLUGO! #kilaza #
Jembe mwaka wa kwanza wanafungua lin
Asante sana ulamaa naomba mtujuze joining zikitoka naomba namba yako please katika pm
kaka mimi chaguo langu lilikuwa Nursing lakini bahati mbaya 1st application nikakosa ikabidi niombe 2nd application ambayo ilikuwa na limit ya course,hivyo nikachagua b.com in marketing na nimepata.Je ninaweza kubadili hiyo course hapo? na qualification za Nursing ninazo
gym ipo block r college of ed.
Yani kwa ninavyokijua chuo che2 wagum sana kubadilisha kozi hasa kutoka kwe department moja kwenda nyingine!kutoka school of b'ness mpaka school of nursing kazi ipo kuhama!ila unaweza kujarib endapo nafac itakuwepo huko nursing!.
THAT'S TRUE
Mi nimechaguliwa Bachelor of Arts in Public Administration(BA-PA) vip wahadhiri wapo na soko la ajira lipoje?.
Napenda kufahamu kama kuna dressing code mfano LL,B (Bachelor of Law) Natanguliza shukrani
wanna 1st year wanafungua lini??? alafu join instruction zimetoka????????/
vp swala langu la kutokuwepo kwa mwaka wa kihtimu kidato cha 4,...umelipatia ufumbuzu,..samahn kwa usumbfu ndg!![/QUOTE
haupo kwenye nini?