Duu! Nilichofikilia baada ya kuiona heading sio kilichomo humu.
Hiv thithi ni wale wenye elimu halafu hatujaelimika eeee!?
Ualimu wa shule ya msingi haumaanish mtu kafeli ni kazi kama kaz nyengine wasomi mliomo humu wasaidie na wasomi wengine waweze kuelimika juu ya hili.
Wewe ni M PU M B A V U !
Ndo yeye haswa.., alitolewa Mlimani akaja DUCE tukapiga nae kazi hapa baadae akahami UDOM nadhani ndo principal wa college of Education pale..
Ulamaa Hemed mwananzuoni uliyekomaa kwanin UDOM kinaitwa chuo cha kata?
Vp kuhusu hostel zipO za kutosha??
Vp kuhusu hostel zipO za kutosha??
Kitimoto(nguruwe) inapatikana wapi? Na swimming pool ipo kwel?
ndugu kuna utofauti gani kati ya hii koz:Bcs of education in science ya UDOM na Bsc of science in education zilizopo vyuo vingine.
unaruhusiwa kuja na gari yako chuoni?