Mambo ya u----a nackia yapo nikweli?
Mkuu sor naweza pata hapo cz first choice yangu niliweka udom ktk fucult of education in udult
college yenu ya ss inamaprofesa wangapi? Maana nasikia wanawafundishaga degree holder wenzenu tu.
hahaha kwanza huwez kuulizwa swal manake najua hakuna mtu alie faulu vizur na mwenye akili timamu atakubali kusoma udom hapo watu wanakuja manake hawana pengine pa kwenda so kila aliepata udom ana mauchungu yake
sidhani kama umeshafika chuo kikuu wewe utakuwa ulipata division zombie. Nimemaliza udom mwaka huu kwa sasa nipo CRDB USA river branch arusha tena sio temporary nimeajiliwa pale wakati hata cheti cha chuo hakijatoka, nimewapa provisional results zangu nikaitwa kwenye usahili na sasa ni mwajiliwa. Hebu tujuze wewe uko wapi na umemaliza chuo gani.
kwa nini kinaitwa chuo cha kata?
chuo cha kata kwa7bu waliokuja hapo n wnye cut off point 2.5 kwann ucsome udsm na mataw yake coz n cha kwanza tz na cha 4 afr
wewe ni -------- tena jinga kabisa mimi nilikua nina poit 9 nikachaguliwa udom sasa wewe kuchaguliwa Mkwawa na hivyo vipoit vyako vitano unavimba kichwa subiri Suplimentary za kutosha ----- wewe
wewe ni -------- tena jinga kabisa mimi nilikua nina poit 9 nikachaguliwa udom sasa wewe kuchaguliwa Mkwawa na hivyo vipoit vyako vitano unavimba kichwa subiri Suplimentary za kutosha ----- wewe
Hatufanyi malumbano ya vyuo hapa jaribu kuwa mstaarabu ndugu
Mkuu BabaV unamaanisha amsalimie Prof J.D.L Kabigumila ua Kabigumila yupi? kama ni J.D.L aliyekuwa pale Zoology UDSM ameenda UDOM kufanyani?Msalimie Kabigumila...
Mkuu BabaV unamaanisha amsalimie Prof J.D.L Kabigumila ua Kabigumila yupi? kama ni J.D.L aliyekuwa pale Zoology UDSM ameenda UDOM kufanyani?
we na ww ni yaleyale matope,,we unadhani kusoma udsm ndo nn labda,,we unadhani wote wanaoenda soma udsm cut off pt zao kubwa na wote wanaosoma udom cut off pt zao ndogo,,kpapa ww,,co unasema 2 v2 ucivokua na proof[/QUOTE
Ud sayansi weng cutoff point ni mbili,udom 2.5
ndugu zangu,hivi ni kwa nini mtu wa udom akipondwa,na yeye hulipiza kwa kuiponda udsm hata kama hajapondwa na mtu wa udsm?why always ud?