Ushauri kwa Wadada

Ushauri kwa Wadada

Joeli

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
4,941
Reaction score
3,417
wadada ambao wako in their mid 20th hasa ambao wako chuo utasikia wanakwambia wanapenda married men kwa sababu uwa hawasumbui, wanajua ku take care, na sababu zingine mia kidogo.

tatizo uwa linakuja inapofikia umri wanaolewa na wanagundua wadada wadogo wanatoka na waume zao, wanaona uchungu eti hawataki kushea huku wanasahau enzi hizo

ushauri wangu: ukila vya wenzako na vyako viliwe japo kidogo
 
ha mbona kawaida tu,we fanya ikibidi uogelee kabisa kama uko kwenye swimming pool lakini jioni ukirudi unihudumie ninavyotaka au fanya ila nisikukamate basiiiiiiii
 
Maneno ya mtu asie na mume utayajua tu..maadam una moyo unaopenda basi ni dhahiri utatamani mtu huyo ulompenda awe wako peke ako m wewe wake peke ake so hauna haja ya kujifariji ni kawaida wakati kila mtu anajua si kawaida..over..!!
 
refer comment yangu niliyomjibu jong afrikaanse nimechoka kurudia.
 
Last edited by a moderator:
C6 wadada wanashauriwa lakini hawashauriki, NYAMBAFU
wadada ambao wako in their mid 20th hasa ambao wako chuo utasikia wanakwambia wanapenda married men kwa sababu uwa hawasumbui, wanajua ku take care, na sababu zingine mia kidogo.

tatizo uwa linakuja inapofikia umri wanaolewa na wanagundua wadada wadogo wanatoka na waume zao, wanaona uchungu eti hawataki kushea huku wanasahau enzi hizo

ushauri wangu: ukila vya wenzako na vyako viliwe japo kidogo
 
Last edited by a moderator:
sijawahi chukua mume wa mtu masiku nikikukuta na mume wangu.nitakurarua labda pete ya ndoa aivue nijue hujui unless otherwise nitahakikisha unachungulia kaburi
 
halafu haka ka tabia kamekuwa sana siku hizi, sijui ni kwa nini! Au ugumu wa maisha ya chuo unaotokana na kucheleweshewa mikopo au kukosa mikopo kabisa ndo huwasukumu kujiingiza kwenye vitendo hivi na waume za watu kwa hao walio vyuoni? Au ni tabia zao tu?
 
sijawahi chukua mume wa mtu masiku nikikukuta na mume wangu.nitakurarua labda pete ya ndoa aivue nijue hujui unless otherwise nitahakikisha unachungulia kaburi

daah dada una munkari balaa, mpk mtu achungulie kaburi kisa kikojoleo
 
wadada ambao wako in their mid 20th hasa ambao wako chuo utasikia wanakwambia wanapenda married men kwa sababu uwa hawasumbui, wanajua ku take care, na sababu zingine mia kidogo.

tatizo uwa linakuja inapofikia umri wanaolewa na wanagundua wadada wadogo wanatoka na waume zao, wanaona uchungu eti hawataki kushea huku wanasahau enzi hizo

ushauri wangu: ukila vya wenzako na vyako viliwe japo kidogo

Wamesahau kuwa mwosha naye huoshwa.
 
Back
Top Bottom