Ushauri kwa Wadada

Ushauri kwa Wadada

Bujibuji na hiyo avatar teena kama vile unamgombesha mtu mbele yako..
 
Last edited by a moderator:
wadada ambao wako in their mid 20th hasa ambao wako chuo utasikia wanakwambia wanapenda married men kwa sababu uwa hawasumbui, wanajua ku take care, na sababu zingine mia kidogo.

tatizo uwa linakuja inapofikia umri wanaolewa na wanagundua wadada wadogo wanatoka na waume zao, wanaona uchungu eti hawataki kushea huku wanasahau enzi hizo

ushauri wangu: ukila vya wenzako na vyako viliwe japo kidogo

kula kwa zamu bana. c anakumbuka kuwa hakuna usumbufu, anahudumiwa kila kitu na wengine wafaidi!!!
 
wadada ambao wako in their mid 20th hasa ambao wako chuo utasikia wanakwambia wanapenda married men kwa sababu uwa hawasumbui, wanajua ku take care, na sababu zingine mia kidogo.

tatizo uwa linakuja inapofikia umri wanaolewa na wanagundua wadada wadogo wanatoka na waume zao, wanaona uchungu eti hawataki kushea huku wanasahau enzi hizo

ushauri wangu: ukila vya wenzako na vyako viliwe japo kidogo

Viliwe sana siyo kidogo. Unajua watu wanapenda kujitoa ufahamu. Hivi kwa akili yako unafurahia kulala na mume wa mtu? Uzuri Mungu wetu hana hiyana, Malipo ni papo kwa hapo.
 
inauma coz upo ndani ya ndo!bt enzi zako unaona poa!
By the way kwa jina la yesu kila ki2 kinawezekana,hatoki m2 nje
 
Haha c6 umeniacha hoi sa na wale wanaume ambao wanaacha familia zao na kuhudumia nje inakuwaje then bora. Hata anaetoka na mume wa mtu awe mstaarabu kuliko mcharuko mana hahaha ila mwisho wa sku hakuna marefu yasiyokuwa na ncha na pia siku zote basi utavuna ulichopanda na kila mtenda ubaya hulipwa ubaya and allah is always fair ooh

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
hahaha C6 'watoto wa chuo' wasumbufu kama nini....maana pia kumpata mpaka kwa ratiba yake, na hapo akudanganye mara 'nina discussion' mara 'nine 'lecture saa mbili usiku' na kadhalika kumbe anatumia nafasi hiyo kuwapanga wanaume kama 3-4 hivi bila wao kujuana. Unashangaa mtoto wa chuo anasukuma ndinga la kufa mtu, unajiuliza ni boom hili hili au ni aje, of course no offence kwa wale 'wenye nazo' lakini wako wangapi?

kwa hiyo, wanaposema ivo kuwa wanapenda waume za watu wanajua its more convenient kwao, na they can do whatever they want and get away with it!
 
nnao marafiki zangu wadada, uwa nacheka sana wanavyotupanga, jamaa anamfata hostel na gari anamtoa shopping, kuna mtu anamsaidia class nae anakula mzigo, na kuna ambae ndo fundi ambae ndio anaemkuna mpk afike kilele cha kibo, kuna lecturer anataka kumkerisha somo nae anapewa, unakuta kuna cheni ndefuuu
 
Thats what I am talking about @c6......
 
Back
Top Bottom