Habari Wadau,
Mimi ni mfatiliaji mkubwa sana wa Sports Arena. Ninaamini ni kipindi kuzuri sana cha michezo na kina wachambuzi wazuri sana kama kina George Ambangile, Edo Kumwembe. Tatizo liko kwenye watangazaji wao wakiongozwa na Maulid Kitenge na Yusuf Mkule:
1. Kuwa Biased
Wako biased sana na hawajifichi, mfano kukiwa na habari nzuri ya Simba huwa haiongelewi ama itaweka kama trivial ila kukiwa na habari yenye kuleta taharuki ama uchochezi basi hiyo ndio ita headline discussion yao.
2. Watangazaji ni kama hawako serious na kazi yao:
Mara kadhaa unakuta mtangazaji ana report mechi zilizopita, lakini hajui nani na nani walikutana, au mchezaji gani alifunga goli. Wakati mwingine, hata hawajui fixture za ligi, mfano leo asubuhi, Maulid bila aibu ameonesha kutojua fixture list za Simba akisema mechi yao inayofuata ni ya Yanga, wakati kesho wana mechi na Mbeya City, mpaka Nazir Khalfani alipomkosoa.
3. Matangazo mengi/ Wageni wengi bila mpango
Hapa sitaki kuwalaumu sana maana ndio maslahi yao yanapopatikana ila tatizo too much of everything is harmful. Unakuta kipindi tangu kinaanza ni matangazo tu, habari ya kwanza inakuja kusomwa baada ya dk 10 hadi 15. La pili ni hili la kuwa na wageni wasio na mpango, unakuta watu wanakuja kuzungumizia sijui jogging, who gives a f!ck. Nadhani unapofanya vipindi ni vizuri kuangalia audience (walaji) wanataka nini, I believe I speak for most us nikiomba wageni wasio wa ulazima, wasipewe airtime.
Naamini hayo machache yakifanyiwa kazi, kipindi kitaimarika zaidi.
Nawasilisha!