Ushauri kwa Rais: Epuka Doa Jipya

Hans jah

New Member
Joined
Mar 11, 2026
Posts
1
Reaction score
6
Nani wa kumshauri Rais la kutojiongezea doa jingine.

Kwa yale yaliyotokea 29 octoba inatosha kuwa fundisho kwake.
Kumfunga Lisu kwa uhaini litakuwa ni doa jingine ambalo litamtesa na kumtengenezea kumbukumbu mbaya kwa kizazi kijacho.

Atafananishwa na Ma Rais wengine hata pata wa kufanana nae.

Historia itamuhukumu kama Rais aliyeua na kufunga wapinzani wake ili kuweza kutawala.
Bado hajachelewa
 
 
Sisi runaompenda Rais tunalitaka hilo doa.
 
nonsense 🐒
 
Rais sio mahakama...ninachojua anaweza na anaruhusiwa kutoa msamaha kwa mujibu wa katiba na sio kuingilia hukumu.by the way haki ya wale 500+waliofariki kutokana na uchochezi na mpango wa uhaini inafikiwa vipi?....kwa maoni yako
 
Hayupo wa kumfunga Lissu, kwa kesi ya Uhaini. Dunia nzima itahamia Tanzania
Anaweza kufungwa hata kama hatupendi, mambo ya Dunia huwa yanakwenda taratibu sana..

Kwa shauri lile kupatikana tu na kesi ya kujibu ilitakiwa kutu alert .
 
Reactions: naa
Sasa km mashahidi wanakataa kutoa ushahidi hiyo hukumu itakua batili.
Au ndio mahakama za simu. Km alivyosema Rostam
 
Hayupo wa kumfunga Lissu, kwa kesi ya Uhaini. Dunia nzima itahamia Tanzania
Dunia haikuhamia walivyouliwa maelfu ya wananchi. Ndiyo ije baada TL ya kupewa hukumu ya mchongo?
Kuna watu bado mpo ndotoni.
 
Kuna watu 518 walipoteza maisha kutokana na kauli za kihaini...tunataka haki na si maridhiano na wahaini.

Kwani nn kimempata mtoto pendwa wa idu?, usa? Eu? Nini kimempata huyu nguli wa sheria anayetoa somo mahakamani?
-kwa nini tusiupatie uhuru wa kutosha mhimili wa mahakama mamlaka yake? Kwa nini tunataka mahakama iwe kama mama yako au tecdema?

Tundu asihukumiwa maisha au kunyongwa sitakuja niziamini mahakama za tz na litakuwa pgo kubwa kwangu kwa mhaini kuachiwa!

Kama siyo yeye mbona hakuna ambaye amejitokeza kuandamana hv karbuni?

Kwanza mlisema hamumtambui mh rais samia, hz kelele zimetoka wapi?

nachojua ni kuwa tundu atatoka baada ya uchaguzi mkuu wa 2030. Awamu ya saba ndo itampa msamaha..jaribuni kuheshimu dola hata kama bosi wake ni mama...
 
Sisi runaompenda Rais tunalitaka hilo doa.

Ni wale mashetani wenye uwendawazimu, ndiyo pekee wanampenda katika uovu wake.

Kama mwanadamu mwenzetu, tunampenda, lakini kwa matendo yake ya kuua watu, kudhulumu haki za watu, , kamwe hatuwezi kuungana naye kwenye huo ushetani wake, ataungana na mahayawani pekee.
 
Sa100 ni sikio la kufa alipofikia hakuna wa kumshauri akashaurika huyo labda kifo tu kimbebe ndiyo atatulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…