Ushauri kwa Mwanajamiiforum Frey Cosseny baada ya hukumu

Fundi Madirisha

Senior Member
Joined
Jun 30, 2020
Posts
184
Reaction score
1,000
Napenda kumshauri kada huyu wa CCM ambaye alitumia nguvu nyingi sana kumtetea ole Sabaya kwakua walikua ni genge moja, ametishia sana watu na kujiona kua yeye ndio chama na yeye ni kila kitu.

Asome alama za nyakati, kuishi kwa kutegemea kuumiza wenzako laana ya Mola haitakuacha salama. Tena ana bahati huyu mtu alitakiwa naye awe ndani. Kutwa nzima alikua akimtetea Sabaya anajua walichokuwa wanakifanya.
 
Au. Ni yule anayepinga kelele kwenye shule ya uongozi
 
Comte
Eltwege
Yehodav
Na kundi lao lote
Umemwacha Cremia. Bila shaka hao ni sehemu ya lile kundi la wauaji. Kama Mungu Baba yetu ametenda kwa Sabaya, hataacha kutenda kwa hawa pia. Kwa kila mmoja kwa namna yake, kadiri ya hekima yake yeye mkuu wa Ulimwengu na mbingu.
 
Huenda alitegemea uteuzi
 
Kumbe huyu ibilisi ameanza kitambo sn?
 

Ni yule aliyemuua papa kule itali kisha kuja kumpiga Padri Kitima kule Kurasini au sio huyo ?

Mauti haijawahi kulishinda kanisa la Kristo .
Yesu aliushinda Ulimwengu Mzima .
Hakuna mtu atakayeushinda Ukristo kwa kutumia Kifo . Badala yake atapotea na kubaki na historia mbaya Kama yule Mbweha Herode wakati Yesu Alipokua duniani .
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…