Ushauri kwa Mr Hashim Lundenga, Jitoe Miss Tanzania. Huaminiki tena

shaurimbaya

JF-Expert Member
Oct 3, 2013
1,915
2,329
habari wadau..

nimeona kwenye habari hashim lundenga anaomba serikali imsaidie kutafuta wafadhili wa miss tanzania..

kama yupo humu au jamaa yeyote aliyopo humu amfikishie huu ushauri.

ni vizuri akakaa pembeni ya miss tanzania maana hakuna kampuni yeyote yenye akili itakayotoa pesa zake kwa miss tanzania ya lundenga...

seke seke la Siti mtemvu ni kubwa sana limemvunjia sana trust... na kurudisha trust sio kazi ndogo.

hata kama lundenga anategemea shughuli za miss tanzania kupata hela yake ya kuishi... ni vizuri akatumia.mbinu za yeye kukaa pembeni na kuweka sura nyingine kama mwandaaji kwa ajili ya kupata trust ya mashabiki na wadhamini...

ila yeye kama yeye mzee lundenga na skendo ya siti mtemvu hawezi fanikiwa tena kama enzi zile za zamani
 
huyu mzee hua anawatoboa sana hawa ma-miss
 
Ni muda muafaka wa yeye kukaa pembeni,wadau wa urembo ni wengi na wako smart.
Miss Tanzania imekuwa ya mazoea,hakuna achievement yoyote zaidi ya ile ya Nancy 2005!
Hii ni aibu.
Shindano limekuwa la kuibua wauza sura mjini.
 
I wish ange take over mdada flani mwenye kujitambua otherwise kinacho endelea kule ni ufuska mtupu.
 
Mi namshauri Lundenga aanze kuimba labda anaweza kufanya vizuri maana wanamuziki wenye mapua makubwa Kama yake wamekuwa na mafanikio Sana. Mfano Papa Wemba, Aurus Mabele, Bozi Boziana, Moshi William nk. Ni ushauri Tu.
Duh!sawa muungwana.
 
habari wadau..

nimeona kwenye habari hashim lundenga anaomba serikali imsaidie kutafuta wafadhili wa miss tanzania..

kama yupo humu au jamaa yeyote aliyopo humu amfikishie huu ushauri.

ni vizuri akakaa pembeni ya miss tanzania maana hakuna kampuni yeyote yenye akili itakayotoa pesa zake kwa miss tanzania ya lundenga...

seke seke la Siti mtemvu ni kubwa sana limemvunjia sana trust... na kurudisha trust sio kazi ndogo.

hata kama lundenga anategemea shughuli za miss tanzania kupata hela yake ya kuishi... ni vizuri akatumia.mbinu za yeye kukaa pembeni na kuweka sura nyingine kama mwandaaji kwa ajili ya kupata trust ya mashabiki na wadhamini...

ila yeye kama yeye mzee lundenga na skendo ya siti mtemvu hawezi fanikiwa tena kama enzi zile za zamani
Nakubaliana na wewe kwa hoja ya kutaka Lundenga akae pembeni. Lakini sikubaliani na wewe kwenye sababu unayotaka kuitumia kujenga hoja yako. Nakubaliana na wanaosema Lundenga ameshindwa kuleta matokeo chanya tangu aanze kuendesha hayo mashindano. Kwa namna ya maisha katika jamii yetu yalivyo kwa sasa, suala la Sitti haliwezi kutumiwa na makampuni kumnyima sponsorship Lundenga na Miss Tanzania yake. Ujanja ujanja ni mfumo unaoonekana kama umekubalika katika jamii yetu. Nenda kila mahali utakuta mambo yanapelekwa kiujanjaujanja tu, hata kwenye hapa makampuni yanayofadhili mambo kama Miss Tanzania nako ni ujanja ujanja tu! Lundenga akae pembeni, ni wakati mwafaka wa kufanya hivyo, asisubiri kuacha kwa aibu zaidi!
 
Back
Top Bottom