Ushauri kwa Joseph Mbilinyi(SUGU)

Ushauri kwa Joseph Mbilinyi(SUGU)

Status
Not open for further replies.
Mleta mada kaangalie/kasome hotuba za mwalimu uone neno MPUMBAVU amelitumia mara ngapi.

Na uache ushabiki wa kudhalilisha ubongo wako.
 
Napenda sana kuangalia BUNGE na nawapenda sana wapunge wanaojenga hoja wakiwa BUNGEN ila Mh;Sugu ananipaga mashaka na kauli zake kuanzia ndani ya BUNGE mpaka nje ya BUNGE mf; alishawahi kuudhuria ktk kikao kimoja mkoan MBEYA na inaonesha alitofautiana kwa hoja na viongoz wa pale SASA alichosema watu tunachaacha kaz zetu tunakuja huku inakua hivi and THAT IS STUPID afu akatoka nje wale viongoz walisikitika sana kwa ile kauli, baadaye niliwah kumuona BUNGEN akiomba taarifa kwa SPIKA ili ampe taarifa mmbunge mwenzake aliekua akizingumzia hali ya bunge la sasa akilinganisha na zaman SUGU akasema HATUJAWai KUWA NA MBUNGE BOYA KA MWIGULU hafu ili la hapa majuz kumwamwimbia wazir mkuu STUPID ningependa kumshaur SUGU atumie lugha zenye staha ktk kujenga hoja zake mbona kina KABWE,MBATIA, na n.k wanaogopwa kwa hoja zao tu lakin sio lugha Za Kuudh Wengine najua formation yake inaweza kumfanya kuzoea lugha za mtahan lakn akumbuke sasa ni MH; hivyo ajue analeta BAD IMAGE kwake mwenyewe na CHAMA PIA ajilekebisheeeee

Wewe toa upuuzi wako humu jamvini,kwani Mwigulu siyo boya?
 
Usipende sana kuleta itikad za kiasa kwenye mambo yenye umuhimu kwa mtu Mimi nimemshaur MH; sio kwa ubaya bali ajilekebishe kwan akiendelea ivo anaweza akakumbwa na mamboya ajabu we UNATAKA kushinda na kina SERUKAMBA , mkamia, lukuvi wakat wao ndo wameshika mpin afu nyie ndo mmeshika makal

We mpumbavu unamuita mwenye busara....?
Mbona hata vitabu vitakatifu kama biblia....mpumbavu kinamuita mpumbavu...na matendo yake ni upumbavu!
 
hayo ni maneno ya mkosaj, kila siku mnaka tusifiie tu, hata kama kuna mapungufu, sikuzaliwa na keyboard na hata kama nimeandika ovyo sawa tu, ila i think ujumbe umeeleka kwa waaelewa na wamekubaliana nami and this is how jamiiforums is , kubishana kwa hoja na katika kupishana kwa hoja kuna WATAKAOSUPORT na WENGINE WATAOPPOSE

Sasa mbona wewe hauna hoja....kama una hoja eleza maana ya neno pumbavu...linatakiwa kutumika wapi....kwa nani na wakati gani....?
Pia utoe the best alternative ambayo Sugu alipaswa kutumia tofauti na lugha hiyo....!
Nakushauri uanze kufikiri ndani na nje ya boksi....hata bila boksi fikiri tu!
 
Napenda sana kuangalia BUNGE na nawapenda sana wapunge wanaojenga hoja wakiwa BUNGEN ila Mh;Sugu ananipaga mashaka na kauli zake kuanzia ndani ya BUNGE mpaka nje ya BUNGE mf; alishawahi kuudhuria ktk kikao kimoja mkoan MBEYA na inaonesha alitofautiana kwa hoja na viongoz wa pale SASA alichosema watu tunachaacha kaz zetu tunakuja huku inakua hivi and THAT IS STUPID afu akatoka nje wale viongoz walisikitika sana kwa ile kauli, baadaye niliwah kumuona BUNGEN akiomba taarifa kwa SPIKA ili ampe taarifa mmbunge mwenzake aliekua akizingumzia hali ya bunge la sasa akilinganisha na zaman SUGU akasema HATUJAWai KUWA NA MBUNGE BOYA KA MWIGULU hafu ili la hapa majuz kumwamwimbia wazir mkuu STUPID ningependa kumshaur SUGU atumie lugha zenye staha ktk kujenga hoja zake mbona kina KABWE,MBATIA, na n.k wanaogopwa kwa hoja zao tu lakin sio lugha Za Kuudh Wengine najua formation yake inaweza kumfanya kuzoea lugha za mtahan lakn akumbuke sasa ni MH; hivyo ajue analeta BAD IMAGE kwake mwenyewe na CHAMA PIA ajilekebisheeeee

Pinda yeye analeta good Image kwakuruhusu polic watupige na kutuuwa
 
ivi mnajua bangi inadumu miaka saba kichwani hata kama mvutaji ameacha... na ukichaa uwa haumuishi... ndo kinachomuharibu sugu........
 
Inaonekana ni mgumu kuelewa , sijasema kunajambo nimepanga kumfanyia, bal anaweza kukumbana na mambo ya ajubu mf; kukamatwa na kupekwa POLICE jana huko Dom sio jambo la ajabu ? au weunaona la kawaida, kuwa na mawazo mapana kama BOXA ya pepe kale , USIWE na wamazo mafup kama urefu wa GLASS ya maj
Jifunze kuandika wewe! Ajubu ndio kitu gani? Tangu lini kukamatwa na Police likawa jambo la ajabu? Kufungwa jela si ingekua ni maajabu ya dunia? Sasa wewe kama kushikiliwa na police ni maajabu na twiga kupandishwa kwenye ndege ni nini? Huna credibility ya kumshauri mtu wewe..... Kashauri familia yako tu bse if what you have mentioned above is the degree of your sanity then you are nothing rather than a nincompoop! Got me right?? Phew!!
 
kama wewe mwanaume nasema una maneno ya kike
acha kumchafua sugu
sugu namjua in and out
acha pumba zako
unatafuta umaarufu jf kupitia sugu
looooo, mwongo mkubwa hata aibu hauna
loooo lione kwanza


.............. Sugu ali Icomplement show ya Mwana FA as.... "The Finest His(sugu) a*s*ss"....... ktk page yake ya Facebook....

sasa sijui Mwana FA. aliongea nini kikamghafirisha..!!!!!!!!!!????????

Endeleeni kutetea bangi za Mwanjelwa,,,watoto wenu watawahukumu...
 
mheshimiwa Vmark . ....unadhani kama kina Serukamba na wenzake wanaongea hivyo basi tukubali kama mh "Sugu" anahaki ya kuongea hivi.... tafakari....
Definately he is right to use that word because in Swahili Dictionary neno mpumbavu sio tusi! Neno alilotamka Serukamba from its first meaning to the last one is a profanity! Worse enough no any measure has been taken to serukamba which manifests that there is a pure double standard, something which is a venom to a poor democracy of our country!
 
Sasa mbona wewe hauna hoja....kama una hoja eleza maana ya neno pumbavu...linatakiwa kutumika wapi....kwa nani na wakati gani....?
Pia utoe the best alternative ambayo Sugu alipaswa kutumia tofauti na lugha hiyo....!
Nakushauri uanze kufikiri ndani na nje ya boksi....hata bila boksi fikiri tu!
We ndo unatoka nje ya maada sija zingumzia neno MPUMBAVU TU PIA neno BOYA hapo nilikua naama aweanaongea lugha ya staa mbele za watu ndo ataeleka zaidi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom