Napenda sana kuangalia BUNGE na nawapenda sana wapunge wanaojenga hoja wakiwa BUNGEN ila Mh;Sugu ananipaga mashaka na kauli zake kuanzia ndani ya BUNGE mpaka nje ya BUNGE mf; alishawahi kuudhuria ktk kikao kimoja mkoan MBEYA na inaonesha alitofautiana kwa hoja na viongoz wa pale SASA alichosema watu tunachaacha kaz zetu tunakuja huku inakua hivi and THAT IS STUPID afu akatoka nje wale viongoz walisikitika sana kwa ile kauli, baadaye niliwah kumuona BUNGEN akiomba taarifa kwa SPIKA ili ampe taarifa mmbunge mwenzake aliekua akizingumzia hali ya bunge la sasa akilinganisha na zaman SUGU akasema HATUJAWai KUWA NA MBUNGE BOYA KA MWIGULU hafu ili la hapa majuz kumwamwimbia wazir mkuu STUPID ningependa kumshaur SUGU atumie lugha zenye staha ktk kujenga hoja zake mbona kina KABWE,MBATIA, na n.k wanaogopwa kwa hoja zao tu lakin sio lugha Za Kuudh Wengine najua formation yake inaweza kumfanya kuzoea lugha za mtahan lakn akumbuke sasa ni MH; hivyo ajue analeta BAD IMAGE kwake mwenyewe na CHAMA PIA ajilekebisheeeee
Last edited by Great Cbn; Today at 13:32.