Ushauri kwa Graduates wasio na kazi

Kilimo kinahitaji mtaji na usimamizi mzuri ili utoe product yenye quality tofauti na hapo andika maumivu
 
Kilimo ni risk sana kwa tz but bado ndio njia pekee ya kukuza mitaji ya wanyonge. Mm bina uzoefu san n kilimo kuanzia matikiti, nyanya ambayo yanahitaj mtaj mkubwa mno pia mpunga mbarali- kapunga na mawindi, mahindi nimelima sana kule mbinga- kiamili- mkako nkauza mpaks bei debe 2000/= na ata mazao mengine bado nalima na now karibuni ntokela mbeya tuvune viazi.
Usikurupuke kwenye biashara yoyote kisa umeambiwa ina faida think twice alaf tatzo ya vijana weng hasa wasom wakiingia kwenye miji ya watu wanataka waish maisha waliokuwa wanaish college.

Kilimo ndio kinachosomesha vijana wengi na wengne wapo vyuo vikuu but baada ya kupata elimu ndo mnageuka kuwa kilimo sio kazi mbona wakat mnatumiwa pocket money hamkuwaambia wazazi wenu kuwa agr ni laana the way mnavyosema now??.

Wengn tumezaliwa dsm, kusomea town kuanzia primary mpka university na ata course ni tofaut na agr jembe tukashka ukubwan but baada ya kuingia kwenye agr nikaona inalipa but sio kam weng wanavyosema ila ukiwa smart unapata profit vizur tu japo hutolibgana na wengn kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake.

Ata biashara ni yale yale jaribu kkoo au eneo lolote ata masokon kama ujakata mtaji wako ukiingia kichwa kichwa, kumbuken hakun anaefanya kitu cha LOSS na kurudia miaka kwa miaka
 
Ukikurupuka lazma itakupasua mm mwenyew nilishawahi kupata loss ya hatar kwenye matkt n nyanya but reason nilikuja kurealize kuwa nilikurupuka coz figure ya mapato yalikuwa makubwa kama ya BIKO, But ukitulia lazma utafanikiwa kwenye kila unachofanya sio lazma ufanye kila kinachotajwa unaweza ukabuni ata utafutaj wako na katoboa.
 
Hapo sawa nimekuelewa.
 

Siwezi kufanya hivyo...Tuunge juhudi za serikali ya awamu ya tano chini ya Dr John Pombe Joseph Magufuli atatupa ajira
 
Siwezi kufanya hivyo...Tuunge juhudi za serikali ya awamu ya tano chini ya Dr John Pombe Joseph Magufuli atatupa ajira
Alishawaambia mkashike moko hana mpango huo bado anajenga nchi.
 
Mind ya mtu ikishafunguka utaona yeye mwenyewe akiwa na mabadiliko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…