Umeona kiulizo hapo?Maajabu ya wenye akili Tz ni pale wanajua mtu hana akili alafu wanamuuliza.
Mwenye akili upita zake tu
Umeona kiulizo hapo?Maajabu ya wenye akili Tz ni pale wanajua mtu hana akili alafu wanamuuliza.
Mwenye akili upita zake tu
chama makini MKURUGENZI anajificha barna kufunga ofisi ili vyama visivyo makini vikirudisha fomu vikute hayupo na chama makini kipite bila kupingwa? chama makini kinasaidiwa kupta ushindi na vyombo vya ulinzi na usalama? tafuta kamusi usome maana ya umakini ni niniMh. Ester Matiko. Napenda kukupokeza kwa Kazi nzuri unazozifanya jimboni. Wewe ni Mbunge makini lakini hauko kwenye chama makini. Nakushauri hamia CCM ambacho ni chama makini ili uweze kufanya vizuri Kazi za kuwaletea maendeleo wananchi wako. Fuata nyayo za Mbunge wetu wa Serengeti Marwa Ryoba. Ni matumaini yangu utanisikiliza.
Umeona kiulizo hapo?
Msiwapotoshe watoto wetu maana mpaka sasa watoto wadogo mashuleni wanaamini kuwa mpinzani ni kosa kumbe ni utaratibu rasmi wa kuwa watu wenye mawazo mbadala na ndio maana bungeni kuna mawaziri vivuli na kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani ambaye anagharamiwa na serikali. Hapo tu inaonyesha upinzani ni kitu ambacho kinakubaliwa kwani hata kama utakuwa hujashika uongozi lakini bado unaweza ukawa na mawazo mbadala ambayo yanamsaidia yule anaetawala kuweka mambo sawa.Mh. Ester Matiko. Napenda kukupokeza kwa Kazi nzuri unazozifanya jimboni. Wewe ni Mbunge makini lakini hauko kwenye chama makini. Nakushauri hamia CCM ambacho ni chama makini ili uweze kufanya vizuri Kazi za kuwaletea maendeleo wananchi wako. Fuata nyayo za Mbunge wetu wa Serengeti Marwa Ryoba. Ni matumaini yangu utanisikiliza.
Sasa kuandika tu kazi. Unamshauri kama nani. Badala ya kuzungumzia maendeleo ya nyumbani kwako na kule Kolomije unashauri mtu ahame chama. Miaka 60 Luna maendeleo gani?? Maendeleo kwa kuua watu nayo utayaita maendeleo. Unajua raia wako ili ulete maendeleo kwa nani?? Kwa wanyama???Mh. Ester Matiko. Napenda kukupokeza kwa Kazi nzuri unazozifanya jimboni. Wewe ni Mbunge makini lakini hauko kwenye chama makini. Nakushauri hamia CCM ambacho ni chama makini ili uweze kufanya vizuri Kazi za kuwaletea maendeleo wananchi wako. Fuata nyayo za Mbunge wetu wa Serengeti Marwa Ryoba. Ni matumaini yangu utanisikiliza.
Namshauri kama mwanachama wa CCMSasa kuandika tu kazi. Unamshauri kama nani. Badala ya kuzungumzia maendeleo ya nyumbani kwako na kule Kolomije unashauri mtu ahame chama. Miaka 60 Luna maendeleo gani?? Maendeleo kwa kuua watu nayo utayaita maendeleo. Unajua raia wako ili ulete maendeleo kwa nani?? Kwa wanyama???
Mh. Ester Matiko. Napenda kukupokeza kwa Kazi nzuri unazozifanya jimboni. Wewe ni Mbunge makini lakini hauko kwenye chama makini. Nakushauri hamia CCM ambacho ni chama makini ili uweze kufanya vizuri Kazi za kuwaletea maendeleo wananchi wako. Fuata nyayo za Mbunge wetu wa Serengeti Marwa Ryoba. Ni matumaini yangu utanisikiliza.
Eti wanataka kumpata kwa bei sawa na ile ya mtatiiroopandeni dau.
matokea ya kuwa na bunge LA chama kimoja yatatuhusu wote maana hata ninyi mmebanana nasi humu humu. Tumikeni tu.By the way Zanzibar vipi? Sorry mkuu nimesahau kuwa uwezo wetu wa kutumia mbongo tulizopewa na Muumba unapungua kadri njaa zinavyotuuma
Mna sh ngapi?Je,mtampitisha bila kupingwa kura za maoni????
Enhe! kumbe nawewe hauna akili!!
Hatuna muda mrefu sana huu upuuzi utaisha
Hawa wanaohama hawana future kwenye siasa
Future iko CCM kwingine ni upuuzi tu.
Mh.Matiko wapiga kura walikupenda ukiwa Chadema Mungu anakuwezesha kuyafanya yote ukiwa Chadema na atakubariki zaidi ukiwa huko huko Usiwasaliti Chadema kama kina fulaniMh. Ester Matiko. Napenda kukupokeza kwa Kazi nzuri unazozifanya jimboni. Wewe ni Mbunge makini lakini hauko kwenye chama makini. Nakushauri hamia CCM ambacho ni chama makini ili uweze kufanya vizuri Kazi za kuwaletea maendeleo wananchi wako. Fuata nyayo za Mbunge wetu wa Serengeti Marwa Ryoba. Ni matumaini yangu utanisikiliza.
ShetaniKwenye ukoo wenu mna asili ya ukichaa wallah! Ubunge amepata kwa ridhaa ya wanachama wa CDM na sio ccm. kwa lugha nyingine unamwambia ahame ktk ufalme wa Mungu ahamie ktk ufalme wa 'yule aliye kinyume' na Mungu!
Future ipi? ya wizi, uongo na gilba?