Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,352
- 22,958
Sikutaka ku comment uzi huu !!, lakini nilipoona nawe unapotosha umma nikashangaa !!.Huu ni ushauri murua kabisa kwa wabunge wote wa Chadema wanaoona mbali.
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja? - JamiiForums
P.
Hivi kweli Pascal, wabunge woote wawe CCM ndiyo tutapata maendeleo yalishindikana kwa miaka 60 ?!. Walioiharibu Tz yetu ni nani kama siyo hawa hawa CCM ?! Kweli Pascal nawe unaamini kuua upinzani kwa gharama za dola ndiyo malengo ya taifa!!!
WaTz ni waswahili na wanafki !! Yaani wote wakawe wapiga meza na kusema ndiyoooooo!! Mungu anawaona, acheni turudi kwenye u communist. Lakini tutaendelea kurudi nyuma ki maendeleo, kama ilivyokuwa huko awali .
