Ndo nini hii?T8ktiktak
Ndo nini hii?T8ktiktak
Mawazo ya kishirikina hayaHuu ni ushauri murua kabisa kwa wabunge wote wa Chadema wanaoona mbali.
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja? - JamiiForums
P.
Nadhani kunaweza kukawa na nia potofu ya kutaka kuua upinzani katika hii hamahama. YETU MACHO! WIMBO WA ZIDUMU FIKRA ZAHIHI ZA MWENYEKITI HAUPO MBALImatokea ya kuwa na bunge LA chama kimoja yatatuhusu wote maana hata ninyi mmebanana nasi humu humu. Tumikeni tu.By the way Zanzibar vipi? Sorry mkuu nimesahau kuwa uwezo wetu wa kutumia mbongo tulizopewa na Muumba unapungua kadri njaa zinavyotuuma
Mkuu siasa nyepesi na zinazofanywa na wanasiasa uchwara hasa wa awamu hii zimeua kabisa uwezo wa watanzania wengi kufikiria hivyo hawawezi ona hiki ulichoandika hapa wala kujua dhamani yake. Kiukweli Tanzania awamu hii imepata, si viongozi, si wananchi wote bahati mbaya, yaani mpaka nabubujikwa na machozi
Mara nyingi wewe ni mnafikiMkuu Odhiambo, mtu akiweka link, uwege unasoma kwanza hiyo link ndipo una comenti.
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja? - JamiiForums
P