Crown International, or Crown Audio, is an American manufacturer of audio electronics, and is a subsidiary of Harman International Industries, which has been part of South Korea-based Samsung Electronics since 2017. Today, the company is known primarily for its power amplifiers, but has also manufactured microphones, loudspeakers, and a line of commercial audio products, as well as digital audio networking products.
Nimesikiliza kwa makini mahojiano kati ya watangazaji wa Crown Fm na mgeni wao mheshimiwa genius professor Mangungu ambaye ni boss wa Simba Sports Club.
Nilichogundua ni kwamba Mheshimiwa genius professor Mangungu ana IQ kubwa mno na huyu Juma Ayo hana uwezo kabisa wa kuhoji kichwa kama...
Baada ya Kocha Jamhuri Kihwelo Julio kufutwa kazi jana na klabu yake ya Mashujaa Fc leo Crown Fm wakaamua kumpigia simu.
Juma Ayo akapiga simu, akakutana na matusi live bila chenga.
Julio akawaambia nyie Crown Fm nawachukia sana maana hapo kuna waandishi was*nge sana,
Ikabidi Crown Fm wa-...
Leo kwenye kipindi cha michezo pale Crown Fm kilivyokuwa kinaendelea ilitokea ugomvi ambao si mzuri kabisa!
Yani ilikuwa hivi..... Mchambuzi Hans aliingilia wakati mchambuzi mwenzio akichambua kitendo ambacho Paul Mkai akaonyesha kutopendezewa na akawataka wachambuzi kumuacha mmoja azungumzie...
Kwanza niwapongeze kwa kazi nzuri mnayoifanya hasa kwa kipindi chenu cha mochezo kinachoongozwa na mkuu wa dawati bwana JEMEDARI SAID KAZUMARI
Ushauri wangu n kwenu ambao mnaongoza kipindi yaan bwana JUMA AYO , PAUL MKAI NA JESCA MHAGAMA kuna mchambuzi hapo anaitwa JEFF LEA naona haheshimu KITI...
Wakuu, nimeamua kujiBabu Tale. Nimefikiria mbali sana kimaisha, ikanibidi nitafute wasanii chipukizi wanaopanua makoo yao kwenye viwanja vya mpira nyakati za jioni nikaona wacha niwasapoti kimuziki huenda nitapata chochote hapo baadae hususani kwenye ma show pindi watakapokuwa wakubwa
Au kama...
Crown Media inapaswa kuchukuliwa hatua kali na Mamlaka kwa kuruhusu watoto wadogo kuhudhuria tamasha la usiku la Utete, Rufiji, kwenye Mapokezi ya Mwenge wa Uhuru.
Kupitia video hizi Crown wameruhusu Watoto kushiriki katika shughuli zinazoweza kuwa na madhara kwa afya, elimu, akili, mwili, au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.