Ushauri kwa Baraza La Maaskofu TEC

Ushauri kwa Baraza La Maaskofu TEC

MTAZAMO

Platinum Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
20,085
Reaction score
35,280
Mababa,

Huu ni ushauri mdogo kwenu maana naamini mmejaa hekima na elimu ya kutosha kufahamu kinachoendelea. Ombi langu kwenu ni moja tu!

Msitoke kutetea hiyo document iliyotolewa na Vatican bali simamieni mafundisho ya Kanisa tuliyopokea ama kwa maandishi au kwa mapokeo kama anavyosema mtume Paulo.

Ni vizuri kuongea kuliko kukaa kimya huku waamini wakiwa kwenye mtanziko wa yanayoendelea kwenye vyombo vya habari na mitandao.

Kwa waamini wenzangu, kama huwezi kuipata na kuisoma mwenyewe hiyo document usitoe maoni yoyote kwa kupitia taarifa pekee za vyombo vya habari.

Hatari zaidi ni kuwasikiliza watu ambao hawalijui Kanisa, hawajui mafundisho ya Kanisa na wengine wamejaa chuki hata kabla ya taarifa kama hizi.

Uhai wa Kanisa upo mikononi mwa Kristo na yeye mwenyewe alishatuhakikishia Kanisa halitoshindwa. Let's watch and pray [emoji120]
 
Mkuu siungi mkono wala kukubaliana na habari ya ushoga, ila twende kwenye uhalisia, hatuombei iwe hivyo na Mungu aepushilie mbali lakini ndio tuseme imetokea mwanao amekuwa shoga, utatumia approach gani kuliendea swala hili!

Mkuu hii changamoto ya ushoga ni kama ilivyo kuwa janga la Ukimwi miaka ya 90. Ukimwi sasa hivi sio habari ya kutisha kama mwanzo! Tuwe na Akiba ya maneno!
 
Mathayo 24:12

[12]Na kwa sababu ya kuongezeka maasi, upendo wa wengi utapoa.
And because iniquity shall abound, the love of many shall wax cold.

Maana yake haya mnayoyasikia na kutaona yakisemwa na kufanya na watu tuliowaamini sana na taasisi tulizoziamini sana ndipo maandiko haya yanapotimia.
 
images.jpeg

Ajabu ya mtanzania wa Goba pale, kujiona kuwa mkatoliki zaidi kuliko Papa!
 
Kama tumeweza kujadili na kubadili mambo za hizi issue za unaniliu'. Huwa silitamki hata hilo neno mie🤫.

Naomba tujadili pia na kuweka sawa mambo mengine kama ahadi za ndoa. Tuboreshe maisha yetu, tuijenge furaha yetu👇
 
Papa he's old enough, nimeona mahali ana prefer pa kumzika, yaweza kuwa maamuzi yake ya sasa ni msukumo wa wasaidizi wake wa karibu.

1. Kwani huyu kwenye kale ka utakatifu, hana hata ka harufu ka umungu mungu?

2. Mbona wajomba zake mungu wanasemekana kuwa na ka status fulani special?

3. Kama ndivyo ka uzee ka ubinadamu kama kina sisi kanatoka wapi tena?
 
Mababa,

Huu ni ushauri mdogo kwenu maana naamini mmejaa hekima na elimu ya kutosha kufahamu kinachoendelea. Ombi langu kwenu ni moja tu!

Msitoke kutetea hiyo document iliyotolewa na Vatican bali simamieni mafundisho ya Kanisa tuliyopokea ama kwa maandishi au kwa mapokeo kama anavyosema mtume Paulo.

Ni vizuri kuongea kuliko kukaa kimya huku waamini wakiwa kwenye mtanziko wa yanayoendelea kwenye vyombo vya habari na mitandao.

Kwa waamini wenzangu, kama huwezi kuipata na kuisoma mwenyewe hiyo document usitoe maoni yoyote kwa kupitia taarifa pekee za vyombo vya habari.

Hatari zaidi ni kuwasikiliza watu ambao hawalijui Kanisa, hawajui mafundisho ya Kanisa na wengine wamejaa chuki hata kabla ya taarifa kama hizi.

Uhai wa Kanisa upo mikononi mwa Kristo na yeye mwenyewe alishatuhakikishia Kanisa halitoshindwa. Let's watch and pray [emoji120]
mimi nlikuwa mkatoliki,lakini tamgu papa aongee ule ushetani,,,nahamia sabato
 
Bahati nzuri kanisa si catholic
Kanisa ni mwili wa kristo mtu yeyote anae mwamini Yesu ni sehemu ya kanisa

Catholic mruhusu ushoga msiruhusu bado kanisa la kristo litabaki imara
 
Mababa,

Huu ni ushauri mdogo kwenu maana naamini mmejaa hekima na elimu ya kutosha kufahamu kinachoendelea. Ombi langu kwenu ni moja tu!

Msitoke kutetea hiyo document iliyotolewa na Vatican bali simamieni mafundisho ya Kanisa tuliyopokea ama kwa maandishi au kwa mapokeo kama anavyosema mtume Paulo.

Ni vizuri kuongea kuliko kukaa kimya huku waamini wakiwa kwenye mtanziko wa yanayoendelea kwenye vyombo vya habari na mitandao.

Kwa waamini wenzangu, kama huwezi kuipata na kuisoma mwenyewe hiyo document usitoe maoni yoyote kwa kupitia taarifa pekee za vyombo vya habari.

Hatari zaidi ni kuwasikiliza watu ambao hawalijui Kanisa, hawajui mafundisho ya Kanisa na wengine wamejaa chuki hata kabla ya taarifa kama hizi.

Uhai wa Kanisa upo mikononi mwa Kristo na yeye mwenyewe alishatuhakikishia Kanisa halitoshindwa. Let's watch and pray [emoji120]
Weka hiyo document kwanza tuione mkuu.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Tukisema dini ni utapeli watu hawaelewi. Mungu ama kitu kinachoitwa Mungu hakipo.

Common sense tu inakataa kwamba mwanaume hawezi kumuoa mwanaume mwenzake akawa anamto.mba na bado eti 'mungu' akabariki.

Achaneni na dini, ni utapeli.
 
Makanisa ya Ulaya ni biashara ...
Zenye makao makuu Ulaya..
Ni sawa na Cocacola..

Sasa inakuwaje mteja wa Cocacola unaanza tena kuwa command kuhusu bidhaa yao?
 
Tukisema dini ni utapeli watu hawaelewi. Mungu ama kitu kinachoitwa Mungu hakipo.

Common sense tu inakataa kwamba mwanaume hawezi kumuoa mwanaume mwenzake akawa anamto.mba na bado eti 'mungu' akabariki.

Achaneni na dini, ni utapeli.
eti unamkamata mwanaume mwenzako, na midevu yake na matako yaliyojaa sugu alafu unamfira!!!!! kweli??????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! UPUUZI wenye PHD
 
Mababa,

Huu ni ushauri mdogo kwenu maana naamini mmejaa hekima na elimu ya kutosha kufahamu kinachoendelea. Ombi langu kwenu ni moja tu!

Msitoke kutetea hiyo document iliyotolewa na Vatican bali simamieni mafundisho ya Kanisa tuliyopokea ama kwa maandishi au kwa mapokeo kama anavyosema mtume Paulo.

Ni vizuri kuongea kuliko kukaa kimya huku waamini wakiwa kwenye mtanziko wa yanayoendelea kwenye vyombo vya habari na mitandao.

Kwa waamini wenzangu, kama huwezi kuipata na kuisoma mwenyewe hiyo document usitoe maoni yoyote kwa kupitia taarifa pekee za vyombo vya habari.

Hatari zaidi ni kuwasikiliza watu ambao hawalijui Kanisa, hawajui mafundisho ya Kanisa na wengine wamejaa chuki hata kabla ya taarifa kama hizi.

Uhai wa Kanisa upo mikononi mwa Kristo na yeye mwenyewe alishatuhakikishia Kanisa halitoshindwa. Let's watch and pray [emoji120]
Anti-Catholicism.
 
Mkuu siungi mkono wala kukubaliana na habari ya ushoga, ila twende kwenye uhalisia, hatuombei iwe hivyo na Mungu aepushilie mbali lakini ndio tuseme imetokea mwanao amekuwa shoga, utatumia approach gani kuliendea swala hili!

Mkuu hii changamoto ya ushoga ni kama ilivyo kuwa janga la Ukimwi miaka ya 90. Ukimwi sasa hivi sio habari ya kutisha kama mwanzo! Tuwe na Akiba ya maneno!
Ni kweli kabisa,wale wenye mihemko tunawaangalia tuu.
 
Wazungu ndio wameleta hio dini na wao ndio wenye hatimiliki na dini hio hata makao makuu yapo kwao na wenye dini Yao ndio wameamua kuiuza kwa freemason sasa sisi weusi tutapingaje hali hatuna hatimiliki.
Labda tujjtenge nao.
Tufute uhusiano na Vatican
 
Back
Top Bottom