Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,989
- 37,378
Safi kijanawewe acha kutetea ushoga uliohalalishwa na papa mimi mwenyewe nimeshahama ukatoliki kabisa!!!,,,,,,papa kasema wazi"makasisi wanaruhusiwa kubariki ndoa za jinsia moja".......................okoa ROHO yako wewe jamaa,,,ukifa ukatoliki haukupeleki mbinguni mazee!!
Karibu sana katika uislam kama bado hujaslimu
Uislamu ndio njia pekee na sahihi kabisa anayotakiwa mwanaadam yeyote yule kuifuata
Waislam hawajakamilika au hatujakamilika ila uislam uliishakamilika zamani sana