Ushauri kutoka kwenu waliopitia haya

Ushauri kutoka kwenu waliopitia haya

Simple tu, Mtumie baba yake sms ukimjulisha Anna ana mimba(jitambulishe kama raia mwema) Atafukuzwa kwao na utampata kirahisi bila gharama ili ulee mke na mtoto.
Simple mind great ideas. Hongera mkuu
 
ndugu yangu huyo Anna wako kama ni mwanafunzi narudia tena kama ni mwanafunziii
habari unayo
 
Anna anaonekana mjanjamjanja,ashamuona jamaa mzembe,anataka kumtoa mapene,hana hata mimba pengine,harafu kidume unaogopa nini sasa hapo?,au Anna mwanafunzi?.
 
Nina mpenzi anaitwa anna sasa kapata ujauzito na yeye anamuogopa baba ake sana sasa anataka atoe iyo mimba ila mie sijamuunga mkono je nimsaidiaje maaanake anasema nikanunue vidonge au ni mpeleke kwa doctor ila mimi moyo mgumu sana namwogopa MUNGU .je ni msaidiaje ? Wandugu mliowahi kutoa mimba
Unasubiria nn kumuoa
 
Katoeni hiyo mimba haraka maana wimbi la yatima limezidi mitaani. Halafu dhambi zote zina uzito sawa kama uliweza kugegeda bila kondomu ambayo ni dhambi unashindwa nini kufanya dhambi ya kutoa mimba? Kama uwezi kumuoa huyo binti na kulea mtoto kwa sasa mkatoe haraka kabla mimba haijawa kubwa. Matatizo utakayoyapata kwa kuzalisha binti na kushindwa kutunza mtoto au kumuoa huyo binti mbeleni yatakusababishia dhambi nyingine kubwa na kuvuruga kabisa maisha yako na mke mwingine utakayekuja kumuoa
 
Back
Top Bottom