ffrrank
Member
- Nov 8, 2015
- 27
- 14
Habari za majukumu wana Jf!
Mimi naomba kujua kama kuna tatizo la kuishi karibu na wakwe wa mke sababu mimi bado sijaoa hukunilipo sio mwenjeji. Katika harakati za maisha nimejipiga piga nikajijengea ka nyumba kangu lakini nimejikuta kupenda msichana mmoja karibu na kibanda changu hicho sikuzinavyo sogea mambo yana pamba moto. Kweli tunapendana japo kwao hawajanitambua rasmi lakin kuna uwezekano wakuwa pamoja baadae.
Maisha yangu ni ya kawaida -toa jasho mkono uende kinywani kwa wale wazoefu je nina weza kumuoa na tukaishi naye hapo karibu na kwao, au ni hamehapo nikaanze upya mbali na kwao?
Pili ili niweze kuanza upya lazima niuze hiyo nyumba ili nipate kianzio maana mpaka nime maliza ujenzi nimesota sana je sita weza kujenga picha ya ubinafsi na uchoyo kwa wakwe?
Na omba ushauri nin nifanye.