karibukwetusingida
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 290
- 138
Umiliki VX V8 halafu ulalamikie mafuta ya SUBARU???!!!!
Are you serious???!!!
Biashara gani hizo zinashindwa kuhudumia SUBARU???!!! Tena kwa mafuta tu???!!
duuuu wewe kichwa sana natamani ungekutana na wife ungemweleweshaMafuta,spare parts Subaru Forester iko juu sana,sana sana!!!!!zingatia hiyo gari ataitumia mji gani,mji kama Dar penye madereva wengi vichaa hiyo itakupasua kichwa,mf ikivunjwa taa ya nyuma bei yake 400,000/350,000,taa mbele iko bei sawa na nyuma,indicotor moja sio chini ya 200,000,bumper la mbele 1.2/1.5mil,radiotor/condensor vyote sio chini 1.6mil,(hizi ni bei za used)tuseme imepigwa bonge la mzinga kwa mbele ikulazimu kununua norse cut(kipande cha mbele kikiwa na kila kitu)hesabu yake mpaka gari irudi mtaani utaacha hapo hela ya kununua Ist au Passo mpyaaa,kwenye chassis ndo penye balaa zaidi then spare zake waeza kuwa na cash ukashindwa kuzipata unaambiwa uagize mpya hizo bei za mpya ukiwa vibaya kifedha gari utafugia kuku uwani,nisikutishe sana mkuu angalia kama mfuko wako umekaa vizuri mnunulie wife hiyo gari kweli ni nzuri but ndo hivyo,nimechangia nkiwa na xperience na hizo makitu so sijabahatisha.
Hapa ngoja niwaite miss chagga, Madame B, Evelyn Salt wajaribu bahati yao.
Wanaweza bahatika kununuliwa treni au helikopta kama ya Ndesamburo ili kukabiliana na foleni za Daslam.
sio data zangu nilitumia jf kumtangaza mtu aliniomba mimi mbona nilisoma sweden toka form one mpaka chuo kwa huku tuseme hivi, ila primary nilisoma mzizima primary enzi zile so dogo acha preshaDah mkuu wewe ni zaidi ya spy.,,aisee
mjini mipango na bajeti kaka hata kama pesa ipo ndio uzifuje? Si bora niwape wenye shida yatima ,masikiniUmiliki VX V8 halafu ulalamikie mafuta ya SUBARU???!!!!
Are you serious???!!!
Biashara gani hizo zinashindwa kuhudumia SUBARU???!!! Tena kwa mafuta tu???!!
ukimaanisha???????
unatokea bukoba sehemu gani?
Hata mimi nina wasiwasi mkuu!
We jamaa unazingua ujue...hii kamba hata juha lazima akate.
Mi natamani niwaite wale wafukunyuzi wakalete historia yake hapa. watu8 sijui ni mmoja wao
Jamaa namkubali kwa kutunga Hadithi.
Yaani watu unawaona wote watoto humu.
Maada tuliosoma somo la Insha ni kwamba Maudhui ya Mada yasiingiliane,sasa hapo kuna mada kibaoo.Misifa Teleee.
Unachangamsha genge kwa picha ya mtandaoni
Huyu jamaa huwa na mada za kitoto sana...
Watu wengine wakishalivuta wanaota mchana mchana. Kwanini ujipe ujiko sio wako?
Mwana nimekugongea like hapo juu. View attachment 176134 ulioa ukiwa na miaka 14
Ulifunga ndoa mwaka 2008 kisha 2014 ukamaliza form 6.
Mimi ni kijana nimemaliza kidato cha sita niko na uzoefu wa kufanya kazi za kuendesha vituo vya mafuta kwa miaka 3 nimefanya kazi kwa mkataba na kampuni mbili giant for fuel supply.
Natafuta kazi kama station manager ila napenda nipate kituo ambacho akiuzi kabisa ili niweze kukiinua kimauzo mpaka mwenye kituo ashangae , nina uwezo wa kumshawishi dreva awe anakujakujaza mafuta kwetu nasi pengine mshahara maelewano pia nina uwezo mkubwa wa hesabu za mafuta pia kudhibiti tank loss.
ndugu yangu hilo tangazo lilikuwa la mdogo wangu kweli kichwa alimwinulia kimauzo jamaa kituo chake mpaka jamaa akataka kumuhuzia hisa ukatokea ugomvi wa ndugu wakamfukuza ni waharabu hao ,huyu mdogo wangu ninae kama vp mpe kazi kaka yuko fit kama alivyojielezaWewe si uliwai kueka tangazo kua unantafuta kazi petrol station?.. Leo unamiliki nyumba 4 na v8..au nakufananisha mkuu?
Ila kaka ingawa nimekupa jibu napenda kukwambia kuwa kwamungu hamna kubwa leo unaweza kulalia mkeka kesho ukawa na gholofa na v8 mia na unaweza ukawa kama wewe kesho ukashidwa kununua hata ndala wacha mungu aitwe munguWewe si uliwai kueka tangazo kua unantafuta kazi petrol station?.. Leo unamiliki nyumba 4 na v8..au nakufananisha mkuu?
View attachment 176084
Jamani mimi nina mke wangu nampenda sana toka tumeowana ni miaka 7 sasa ,tulianza na maisha magumu sana tunamshukuru mungu amefungua riziki leo tuna maisha mazuri sana.
Tumefanikiwa kujenga nyumba 4 na kupata watoto 3 ukweli tuna mshukuru mungu,pia tumefungua biashara nyingi tu ingawa bado ni wafanyakazi wa serikali ya Tanzania.
Licha ya gari ya ofisini kwa upande wangu namiliki toyota landcruser v8 mali yangu binafsi hapo ndipo nae mke wangu nilipoamua kumnunulia gari yake ya kutembelea sasa toka nimemnunulia iyo gari aina ya toyota RAV4, amelisusa na halitaki kabisa yeye anataka SUBARU FORESTAR TURBO STI ambayo iyo juu pichani mimi nimemkatalia hii gari kwanza inakimbia sana pia linakula mafuta sana hebu nisaidieni maana hata unyumba sipati nina wiki sasa.
mniwie radhi mada hii imefika page ya saba na wala sikuiona....nashukuru kwa kumgundua huyu mdanganyifu...
[h=3]Natafuta kazi Petro station manager[/h] Started by tamimusalim, 20th July 2014 22:00
Nimlete vp tena kaka mbona sikuelewi au unataka kumuoa , haaaaaa wewe umuwezi ana ghalama sana pia waukweliiiiiMlete huyo mama watoto wako huku Arusha kuna watu wa kumnunulia kitu kama hii hapa chini
View attachment 176240