24th DECEMBER
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 401
- 167
Bila shaka mtoa mada utakua ni muhaya kutoka nyakanazi
sasa mbona sikuelewi kijana unataka picha ya internet au yangu halisi na v8 uthibitishe sema moja una mambo kumikumi kama mchawi
heeee kijana na nyumba tena!!!! Wewe mwanamke au mwanaume?Ya kwako tena ikiwa mbele ya nyumba yako.
heeee kijana na nyumba tena!!!! Wewe mwanamke au mwanaume?
haaaaa fanya fasta nipe namiaka yako bahadae naomba twende inbox maana sitokutumia hapa wachawi wengi maana hii thread ilikuwa na matusi kibao kwa wasiopenda maendeleoNgoja niende nikajichungulie nimesahau jinsia yangu
View attachment 176084
Jamani mimi nina mke wangu nampenda sana toka tumeowana ni miaka 7 sasa ,tulianza na maisha magumu sana tunamshukuru mungu amefungua riziki leo tuna maisha mazuri sana.
Tumefanikiwa kujenga nyumba 4 na kupata watoto 3 ukweli tuna mshukuru mungu,pia tumefungua biashara nyingi tu ingawa bado ni wafanyakazi wa serikali ya Tanzania.
Licha ya gari ya ofisini kwa upande wangu namiliki toyota landcruser v8 mali yangu binafsi hapo ndipo nae mke wangu nilipoamua kumnunulia gari yake ya kutembelea sasa toka nimemnunulia iyo gari aina ya toyota RAV4, amelisusa na halitaki kabisa yeye anataka SUBARU FORESTAR TURBO STI ambayo iyo juu pichani mimi nimemkatalia hii gari kwanza inakimbia sana pia linakula mafuta sana hebu nisaidieni maana hata unyumba sipati nina wiki sasa.
nadhani ungeisoma vema iyo nyuzi sijasema sina ila naona kwa mwanamama si poa sana kwanza hii gari iko more speed and inatumia mafuta sana atanisumbua tuuuu wifeMaelezo yako yanaonesha wewe ni mtu wa kipato kikubwa sasa kinakushinda nini kununua subaru? Mimi nawajua watu hawana hata nyumba moja wanaimudu kuimiliki. Iweje wewe mwenye nyumba nne ikushinde? Unasema inakula mafuta mbona sio kihivyo? Kawaida mi naona huna logic mnunulie tu
nadhani ungeisoma vema iyo nyuzi sijasema sina ila naona kwa mwanamama si poa sana kwanza hii gari iko more speed and inatumia mafuta sana atanisumbua tuuuu wife
mwezangu wifi yako mcharuko tena hii ina turbo tutamkuta moi mimi nimemwambia kama hataki nitamtafutiq bajaj na dereva wakeSpeed si mpaka akanyage mafuta? Speed inategemea uendeshaji wa mtu. Hata mimi nimewahi kuitumia na kwa kuwa mi si mkimbiaji barabarani niliitumia vizuri tu. Haina shida
sio data zangu nilitumia jf kumtangaza mtu aliniomba mimi mbona nilisoma sweden toka form one mpaka chuo kwa huku tuseme hivi, ila primary nilisoma mzizima primary enzi zile so dogo acha presha
Ha ha ha!!View attachment 176084
Jamani mimi nina mke wangu nampenda sana toka tumeowana ni miaka 7 sasa ,tulianza na maisha magumu sana tunamshukuru mungu amefungua riziki leo tuna maisha mazuri sana.
Tumefanikiwa kujenga nyumba 4 na kupata watoto 3 ukweli tuna mshukuru mungu,pia tumefungua biashara nyingi tu ingawa bado ni wafanyakazi wa serikali ya Tanzania.
Licha ya gari ya ofisini kwa upande wangu namiliki toyota landcruser v8 mali yangu binafsi hapo ndipo nae mke wangu nilipoamua kumnunulia gari yake ya kutembelea sasa toka nimemnunulia iyo gari aina ya toyota RAV4, amelisusa na halitaki kabisa yeye anataka SUBARU FORESTAR TURBO STI ambayo iyo juu pichani mimi nimemkatalia hii gari kwanza inakimbia sana pia linakula mafuta sana hebu nisaidieni maana hata unyumba sipati nina wiki sasa.
Nimlete vp tena kaka mbona sikuelewi au unataka kumuoa , haaaaaa wewe umuwezi ana ghalama sana pia waukweliiiii
Hawa ndio watu ambao wanaitajika kuchangia thread ya kimaendeleo kama hizi najua wote mnaopinga au matusi amna lolote hata iyo forestar ya 10 mil ina yashinda mnabaki kutupia matusi tu sio maendeleo si kupigana vijembe,umaskini tu ndio unaowasumbua amna loloteHa ha ha!!
Nimecheka sana lakini kwako mkuu nsona ni donge la moyoni.
Hiyo gari mimo ninayo, ni gari madhubuti, ina power, na barabarani waewza kutamba.
Pamoja na kula kiwese hii gari ni performance driven, barabarani kama keo ni hard driver, hakuna atskayemchezea.
ila jitayarishe tu, ni gari ghali hata kwa normal maintainance
Ila hata kwa V8 yako hebu ijaribu, you wont regret.
Inbox kufanya nini?mie najua wewe ni boss sasa kwa kuwakomesha tupia picha za majumba yako na magari ili wakujue wewe ni nani
Sasa hii ni miongoni mwa nyumba zangu ambayo ipo maeneo ya sakina arusha ,sikai anakaa mlinzi nilikuwa nimeifanyia ukarabati kwa minajiri ya kuiuza lakini nimeghairi Poleni wapinga madevelop yangu, mwisho nawauliza who am i? Jibu.....