Nimlete vp tena kaka mbona sikuelewi au unataka kumuoa , haaaaaa wewe umuwezi ana ghalama sana pia waukweliiiii
pumbavuuuu zako wewe hata bitto ya laki 6 hauna itaweza subaru mordel2013 we mbuzi kweli tambua vizuri kwa helaaaaa na mimi nipo usa river huku site njoookumbe ni 'ghalama' tu !mimi nilidhani gharama,wewe mlete tukusaidie kumnunulia subaru kama hiyo hapo juu na mafuta ya mwaka mzima
afadhali umemuweza maana subaru na V8 anavisikia tu.Mwana nimekugongea like hapo juu. View attachment 176134 ulioa ukiwa na miaka 14
Ulifunga ndoa mwaka 2008 kisha 2014 ukamaliza form 6.
pumbavuuuu zako wewe hata bitto ya laki 6 hauna itaweza subaru mordel2013 we mbuzi kweli tambua vizuri kwa helaaaaa na mimi nipo usa river huku site njooo
we mpuuzi kweli mbona kwangu ni vitu vidogo hivyo,tatizo unijui uliza habari zangu utaambiwaafadhali umemuweza maana subaru na V8 anavisikia tu.
we unaonekana ni mtu kwanza negative thinker pili unaonekana ni mtu maskini sana infact sio zungumzi na watu wapuuzi kama wewe mnaofahamu jf ukubwani bahada ya kupata michina yenu njoo huku site uone vitu kipapa wewe!!! Unaweza ukakaa center ukawa na maisha ya kimaskini ni sawa na kukaa kijijini kwanza wenye pesa tunataka utulivu sio vulugu nenda monduli mtazame mzeemzima anakaa wapiii kima mweusi wewePunguza jazba wewe mbwiga mlete tukusaidie...unatishia na site ya uswazini huko Usariver,mvua ikinyesha ni bwawa tupu !we kweli ni mburula ....halafu inaonekana una mambo ya kizee mno>>
hahahaha nikujue kwani wewe ni Masiha.we mpuuzi kweli mbona kwangu ni vitu vidogo hivyo,tatizo unijui uliza habari zangu utaambiwa
we mpuuzi kweli mbona kwangu ni vitu vidogo hivyo,tatizo unijui uliza habari zangu utaambiwa
we mpuuzi kweli mbona kwangu ni vitu vidogo hivyo,tatizo unijui uliza habari zangu utaambiwa
mimi sitafuti kazi ila nawapa watu kazi njoo upate kazi ya ulinzi wa v8 languTumekujua kitambo toka unatafuta kazi humu au tukujue mara ngapi?
tulia sasa acha makele that all tommy -rot- ----hahahaha nikujue kwani wewe ni Masiha.
TOMMYROT is youtulia sasa acha makele that all tommy -rot- ----
mimi sitafuti kazi ila nawapa watu kazi njoo upate kazi ya ulinzi wa v8 langu
View attachment 176084
Jamani mimi nina mke wangu nampenda sana toka tumeowana ni miaka 7 sasa ,tulianza na maisha magumu sana tunamshukuru mungu amefungua riziki leo tuna maisha mazuri sana.
Tumefanikiwa kujenga nyumba 4 na kupata watoto 3 ukweli tuna mshukuru mungu,pia tumefungua biashara nyingi tu ingawa bado ni wafanyakazi wa serikali ya Tanzania.
Licha ya gari ya ofisini kwa upande wangu namiliki toyota landcruser v8 mali yangu binafsi hapo ndipo nae mke wangu nilipoamua kumnunulia gari yake ya kutembelea sasa toka nimemnunulia iyo gari aina ya toyota RAV4, amelisusa na halitaki kabisa yeye anataka SUBARU FORESTAR TURBO STI ambayo iyo juu pichani mimi nimemkatalia hii gari kwanza inakimbia sana pia linakula mafuta sana hebu nisaidieni maana hata unyumba sipati nina wiki sasa.
sasa hayo ndio maneno kumbe kuongea unajua ila usije ukawa jambazi kesho naenda arusha asubuhi na v8 langu nitakutumia nikiwa arusha sorry kijanaOk boss nitumie picha ya hiyo gari ikiwa imepark kwako niione ilivyo
sasa hayo ndio maneno kumbe kuongea unajua ila usije ukawa jambazi kesho naenda arusha asubuhi na v8 langu nitakutumia nikiwa arusha sorry kijana
nina wasi wasi kama hapa lengo ni،kuomba ushauri!!!!!
sasa mbona sikuelewi kijana unataka picha ya internet au yangu halisi na v8 uthibitishe sema moja una mambo kumikumi kama mchawiAaah ukimaliza kudownload usisahau kunitumia.