Kama ilivyo agizwa na mamlaka kwamba kuanzia sasa mabasi yasizuiwe kutembea usiku, binfsi naunga mkono hoja. Ushauri wangu ni kwamba ingefaa sasa Yale mbasi yanayo anza safari pamoja yange Anza safari kwa nyakati tofauti, mathalani badala ya mabasi yanayo toka Mwanza kuondoka yote saa 12 asb yangetofautina muda.
Kuhusu mabasi ya kigoma na bukoba badala ya kutakiwa kulala njiani yakitoka Dar badala yake muda unge badilishwa ili Yale maeneo waliyotakiwa kupumzika kwa kusubiri kupambazuke wafike kukiwa kumepambazuka.
Hii itasaidia kupunguza gharama na usumbufu kwa abiria wanoka mbali stand pia kufanya matumizi mzuri ya muda.