mutu murefu
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 989
- 2,625
Habari za Asubuhi wanajamvi,
Nina imani kuna wafanyakazi wenye ufahamu na jambo hili,
Naombeni msaada wenu,
Nataka kujua ni kiasi gani cha juu kabisa cha mkopo ambacho mfanyakazi anaweza kukopa CRDB na kwa limit ya miaka mingapi. Mfano kama mshahara ni 980,000. Je inawezekana kuchukua mkopo limit kiasi gani na kwa makato ya shilingi ngapi kwa mwezi na kwa miaka mingapi.
Naomba mawazo na kujenga.
Nawasilisha