Ushauri kuhusu Biashara ya Kuuza Computer: Laptop/dektop used

6WaS9

JF-Expert Member
Mar 2, 2021
2,508
2,876
Habari wakuu.

Ni wapi zinapatikana Computer used nzuri kwa bei ya jumla?

Nitapata kwa Tshs. Ngapi kwa pc 1 kutokana na specifications za computer husika? Yaani bei ya kila pc na specifications zake.

Kwa wanaofahamu ma Supplier wa China na Dubai watujuze pia.

Kwa mzigo wa kutoka nje gharama za usafirishaji kwa Meli /Ndege zikoje?

Asante.
IMG_20200708_140822.jpg

View attachment 1761981

Naongezea tu Kama utaanza na PC 20 mtaji usipungue million 2.5​
 
Dubai yapo maduka ya jumla mengi sana,hasa used na bei zao ni nafuu sana,ukilinganisha na huku,
Ila hii biashara inahitaji upate mtu awe anazifahamu kidogo hasa used au hata wewe mwenyewe.
Nilitamani sana kufanya hii biashara ila spare za magari zimenikamata sana maana zamani nilikuwa fundi computer
 
Una uzoefu gani na hii biashara ? Au Kuna sehemu mgodi umetema ndio umeamua kuingia kwenye hii biznez anyway, kukushauri anza kwanza kutafuta mzigo kwenye chimbo za humu ndani kabla hujaenda nje. pia unatakiwa kuwa na uelewa kwenye issues za computer ili usipigwe
 
Nilishawahi kufanya tafiti nikabaini computer nyingi hasa laptops zinapatikana alibaba na huwa zinauzwa kutokana na specs za pc husika. Mfano unaweza kupata piece 100 za used laptops kwa dola 200 na au vinginevyo kwa piece moja bei ya jumla. Ukiwa na mtaji mzuri ni vyema kwenda dubai moja kwa moja kisha ukachukue mzigo uje nao. Maana wengi hufuata mizigo hasa used smartphones na kadhalika.
 
Tuanze na chimbo za nyumbani, kwa used computer ingia Zanziber, kule kuna mafuka ya waarabu na wahindi wanauza kwa bei rahisi sana ila tatizo likakuja mambo ya ushuru mpaka ufikishe mzigo Tz, ushatoa gharama nyingi sana labda mifumo ya ushuru iwe imebadilika kwa sasa, kama utatata nje, agiza kupitia albaba,ambao computer moja used unaweza ipata hata kwa laki moja au pungufu ya hapo itategemeana na ubora na storage ya computer, NAHISI NIMEELEWEKA
 
Utaratibu upoje wa kuingia Dubai kwa sasa visa, Nauli, maladhi nk
 
Una uzoefu gani na hii biashara ? Au Kuna sehemu mgodi umetema ndio umeamua kuingia kwenye hii biznez
anyway, kukushauri anza kwanza kutafuta mzigo kwenye chimbo za humu ndani kabla hujaenda nje. pia unatakiwa kuwa na uelewa kwenye issues za computer ili usipigwe
Uzeofu nilionao ni wakutafuta maduka na kwa wadau kwa bei nafuu kidogo na kuziuza sijawahi agiza kutoka nje.

Nje niliwahi agiza vifaaa vidogo vidogo tu aliexpress.

Nazifahamu computer vizuri mkuu.

Tatizo ni chimbo za humu ndani wengi wanakomaa bei hasa kipindi hiki, laptop zimepanda sana bei
 
Tuanze na chimbo za nyumbani, kwa used computer ingia Zanziber, kule kuna mafuka ya waarabu na wahindi wanauza kwa bei rahisi sana ila tatizo likakuja mambo ya ushuru mpaka ufikishe mzigo Tz, ushatoa gharama nyingi sana labda mifumo ya ushuru iwe imebadilika kwa sasa, kama utatata nje, agiza kupitia albaba,ambao computer moja used unaweza ipata hata kwa laki moja au pungufu ya hapo itategemeana na ubora na storage ya computer, NAHISI NIMEELEWEKA
Niliuliza watu wawili watatu wanasema pc ni za ku order nakusubiri mzigo ukifika ndio ukachague..
Mzigo ukichukuliwa na kuwekwa dukani price yake inakuwa kubwa kusafirisha huku Dar kodi kubwa unaweza kupata faida
 
Back
Top Bottom