Ushauri kuhusu biashara ya kuchezesha games | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri kuhusu biashara ya kuchezesha games

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by thinka, May 20, 2012.

 1. t

  thinka JF-Expert Member

  #1
  May 20, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 336
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Nataka nianzishe biashara ya kuchezeshaa game aina ya playstastion ila kabla sijaanza inanibd nifanye utafiti kuhusu biashara.naomba kwaa aliye nauzoefu na hilo aniambie faida na hasara ya biashara hiyo
   
 2. Chasha Poultry Farm

  Chasha Poultry Farm Verified User

  #2
  May 21, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 5,660
  Likes Received: 1,146
  Trophy Points: 280
  Mkuu kama wewe ni great thinker usifanye hii biashara, naichukia sana, inafanya watoto wawe wajinga sana, Huu utandawazi unawaathiri sana watoto, make wanatoroka shule na kwenda kucheza hizo game, usiangalie tu pesa, au uweke sheria kwamba masaa ya shule hakuna mtoto kusogea hapo,
   
 3. Achahasira

  Achahasira JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,220
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  biashara hiyo sio mbaya lkn eneo ni muhimu,pili vifaa kama unachezesha ps2 nunu vidude au mikono ya psone ni migumu kweli, kwenye upande wa tv nunua inchi 28.

  Cd weka mpira, magari, ngumi.

  Jaribu kuweka kitu kama membershp ya duka lako mfano wewe unachaji 1000 kwa saa au miatano, jaribu kuweka kuwa mtu anasajili kwa 5000 badala ya kupata masaa matano anapata saba unusu. Lkn lazima uwe na game nyingi.

  Ps3 sio wapenzi sana lkn usiweke zaidi ya moja lkn ps2 imezoeleka na haina hasara kwenye vifaa vyake vikipata kuharibika.
   
 4. Achahasira

  Achahasira JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,220
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapo sasa inabidi awwe anafungua kwanzia sita unusu hadi jioni kwa siku za shule, weekend kwanzzia asubuhi
   
 5. moneymakerman

  moneymakerman Member

  #5
  Jan 23, 2014
  Joined: Jan 20, 2014
  Messages: 41
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  video games zinafaida kwa akili, kwani nchi zilizoendelea mpaka wagonjwa wanashauriwa kuzicheza kwa ajili ya ubongo kuweza ku-charge zaidi kwa kufikiria kwa haraka, kufanya co-ordination kwenye mikono na pia kupunguza stress na depression, na sio kwa watoto tu. mimi nimekuwa nikifanya hii biashara kwa muda sasa, na nimekuwa nikifuatilia wanafunzi ambao wanakuja kucheza, matokeo yao shule vipi? wengi wao ni wenye kufaulu mitihani, na kama alikuwa anafeli matokeo ya mbele yanakuwa mazuri baada ya kucheza. Hatuwezi kuzuia maendeleo ya kidunia na technologia, na watoto wa siku hizi hawana michezo mingi nje kama zamani. Ni kitu kigeni na mara nyingi kipya kinaonekana sio kizuri haswa kwa wasio fahamu. Upande wa tabia ya utoro na wizi, nasema, mtoto umleavyo ndio akuavyo. Matajiri wengi tu, wamewanunulia watoto wao hizi game kucheza nyumbani na wako vizuri tu kielimu, ni sisi walala hao ndio tunapigana wetu wasijue kitu, technologia hizi zipo, na zitaendelea kuboreshwa. mengine baadaye, hayo tu kwa sasa.
   
 6. malamsha shao

  malamsha shao Senior Member

  #6
  Jan 24, 2014
  Joined: Sep 23, 2012
  Messages: 180
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  umejibu vizuri mkuu kwa mtu yeyote mwenye akili timamu kukuelewa
   
 7. Ngamba

  Ngamba JF-Expert Member

  #7
  Jun 7, 2014
  Joined: Jun 6, 2013
  Messages: 658
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Je kwa sasa ps2 ni shilling ngapi????
  1. Used one sh.???
  2. New one sh.????

  Asante
   
Loading...