dogo kasome actuarial achana na Geomatics haina issue.
GEOMATICS ni the best kwa sasa tz...uliza uelekezwe....
dogo kasome actuarial achana na Geomatics haina issue.
Salam Wakuu.. Naombeni ushauri kuhusu hizo course mbili tajwa hapo juu ikiwa ni pamoja na requirments, vyuo hapa tz vinavyotoa, competition kuzipata, na soko la ajira.. Natanguliza shukrani zangu za dhati..
Ha ha ha....huwa nacheka sana vijana mnavodanganyana...hivi mtu mwenye akili timamu kweli unaenda kusoma Geomatics???
Naomba kufahamu kuhusu Civil Engineering hapo Ardhi. Nina B, B+,B . Possibility ya loan na kuhusu mazingira ya chuo?geomatics ni nzuri tuu but cha msingi ni juhudi na tazama uhalisia wa matokeo yako yatakavyokuaa koz hizo course ushindan hatariii.... about actuarial science Sijui Saana ila ni nzuri sana nasikia ..Niko ardhi waweza nitafuta for more info
Wakuu ahsanteni sana kwa ushauri. Mi ndiye mtoa mada....Nilikuwa jkt.. Nashkuru Mungu tokeo limetoka vizuri. nina a a a. Sasa wakuu huku mtaani kila nayekutana nae ananiambia Petroli na kwa kweli hyo kozi mi naogopa pengina ajira zikazingua mbeleni. Naombeni plz mwenye info anijuze... Naona ni vyema niwaulize nyie wakubwa zangu ili nitakapofanya maamuzi hv karibuni yawe sahihi...kati ya hz nne civil eng, petrol eng,geomatics na actuarial ipi nitangulize??? Zote nazikubali.. Natanguliza shukrani...

wa pilipiga petro kijana Taifa linawaandaa..umesema una A A A kitaifa umekua wa ngapi mkuu?
Ahsante mkuu kwa ushauri wako...inabidi ni come up na choice moja coz kidogo naona kuna uwezekano mkubwa sana nitapata first choic nitakayoiweka.. ahsante tena..weka petroleum geology first choice,pia weka na engineering geology,petroleum geology ni nzuri sana,petroleum engineering naona watu washaanza kujaa pia,ucsahau na chemical and processing engineering pia..japokua hujaz course tatu chuo kimoja utachagua,but kwa ushauri wng jaza petroleum geology..then hongera kijana mungu atakusaidia na chuo upasue kama hvy..all the best
Wakuu ahsanteni sana kwa ushauri. Mi ndiye mtoa mada....Nilikuwa jkt.. Nashkuru Mungu tokeo limetoka vizuri. nina a a a. Sasa wakuu huku mtaani kila nayekutana nae ananiambia Petroli na kwa kweli hyo kozi mi naogopa pengina ajira zikazingua mbeleni. Naombeni plz mwenye info anijuze... Naona ni vyema niwaulize nyie wakubwa zangu ili nitakapofanya maamuzi hv karibuni yawe sahihi...kati ya hz nne civil eng, petrol eng,geomatics na actuarial ipi nitangulize??? Zote nazikubali.. Natanguliza shukrani...
Kazi unafanyia wap kwa acturial
About loan sijui.. Apo wasubir wausiika na pia soma criteria wanatumia kugawa loan ... Mazingira ni ya kitanzania.. Msuli saanaaaa... Nothing complicated... Lakin ayo maswali yako si ya kisomi saana... Kupt its posiboNaomba kufahamu kuhusu Civil Engineering hapo Ardhi. Nina B, B+,B . Possibility ya loan na kuhusu mazingira ya chuo?
Chochote utapata na hizo course zote zinanafasi tu nzuri za ajira japo zinatofaitian kidogo.. Mungu akutangulie katika choices zako.. Jaza best course at ud na iyo geomtics.. Pia thnx brothers kwa kuwashauri wadogo zetu.. Ndo ubindamu na uungwana huu ..kwa wale weny shida na ardhi unversity tuwasiliane kwa ushirikiano tuu... 0712492799
piga petro kijana Taifa linawaandaa..umesema una A A A kitaifa umekua wa ngapi mkuu?
we mbiga c unasoma vertinary medicine..unakwenda kutibu mbwa na paka..sasa bora nani?kama huijui geomatics bora ukae kimya tu usiropokr hapa maana ww umeshakua mtu mzima
Hilo swali sasa linahitaji takwimu
Qualified Acturial??... Kwamba na wenyewe wana board zao.... Na zinatumia mda gani... Kumaliza? Na vipi kuhusu gharamu...?
unafanyia kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii, ila ukiwa qualified Actuary ni vyema ukawa mshauri wa hii mifuko na utakuwa unaifanyia tathmini (actuarial valuation) na watakulipa pesa ndeefu sana so kama wewe upo vizuri kwenye maths go for it!!