Ushauri kuhusu Actuarial Science na Geomatics

Rosles Len

Member
Joined
Oct 21, 2012
Posts
18
Reaction score
2
Salam Wakuu.. Naombeni ushauri kuhusu hizo course mbili tajwa hapo juu ikiwa ni pamoja na requirments, vyuo hapa tz vinavyotoa, competition kuzipata, na soko la ajira.. Natanguliza shukrani zangu za dhati..
 
geomatics ni nzuri tuu but cha msingi ni juhudi na tazama uhalisia wa matokeo yako yatakavyokuaa koz hizo course ushindan hatariii.... about actuarial science Sijui Saana ila ni nzuri sana nasikia ..Niko ardhi waweza nitafuta for more info
 
Geomatics ipo poa na kama sikosei inatolewa Ardhi tu kwa hapa Tanzania...actuarial science soko lake silijui kwa bongo hapa.
 
geomatics lazima uwe umesoma PCM na saihv ina competition kidogo tofaut na enzi zetu mpaka walio na 3 ya 16 wakichukuliwa,actuarial science ukiwa nadhan ukiwa umesoma namba tu advance but pia ina competition
 
Bongo hakuna maacturial scientist wengi, na course Bado mpya so ajira zitakuwepo ila soko lake ni dogo sana, maybe baada ya graduants 100 wa viwango kazi zitaanza kuwa haba, so possibly umechelewa kidogo sana
Ingawa kama unajiamini ukaisoma na ukapata qualifications nzuri umaskini utaupiga kumbo mapema sana
Hiyo nyingine ni technolojia everyday inakuwa so haina mapungufu makubwa, ingawa ajira zake bado ndogo ila after 3-4yrs itakuwa na ajira nyingi sana
 
geomatics ni nzuri tuu but cha msingi ni juhudi na tazama uhalisia wa matokeo yako yatakavyokuaa koz hizo course ushindan hatariii.... about actuarial science Sijui Saana ila ni nzuri sana nasikia ..Niko ardhi waweza nitafuta for more info
. Mkuu ahsante kwa ushauri. 0712486903 is my number. Plz bip anytime nikupigie unijuze zaidi hasa kuhusu geomatics
 
geomatics lazima uwe umesoma PCM na saihv ina competition kidogo tofaut na enzi zetu mpaka walio na 3 ya 16 wakichukuliwa,actuarial science ukiwa nadhan ukiwa umesoma namba tu advance but pia ina competition

Ahsante mkuu. Nimehitimu pcm. Hapo kwenye competition ndo pagumu. Ila kumbe geomatics no ya siku nyingi?
 
Bongo hakuna maacturial scientist wengi, na course Bado mpya so ajira zitakuwepo ila soko lake ni dogo sana, maybe baada ya graduants 100 wa viwango kazi zitaanza kuwa haba, so possibly umechelewa kidogo sana
Ingawa kama unajiamini ukaisoma na ukapata qualifications nzuri umaskini utaupiga kumbo mapema sana
Hiyo nyingine ni technolojia everyday inakuwa so haina mapungufu makubwa, ingawa ajira zake bado ndogo ila after 3-4yrs itakuwa na ajira nyingi sana

Ahsante mkuu... kwa hiyo mkuu for the future unaona geomatics IPO vizuri zaidi?
 
Salam Wakuu.. Naombeni ushauri kuhusu hizo course mbili tajwa hapo juu ikiwa ni pamoja na requirments, vyuo hapa tz vinavyotoa, competition kuzipata, na soko la ajira.. Natanguliza shukrani zangu za dhati..

Kijana, subiri matokeo kisha yakiwa mazuri ni PM nikuunganishe na Actuarial mmoja akupe maelezo yote utakayoyahitaji. BTW hautakua umepotea njia kusoma hiyo program. Lakini kama umeweza kuingia huku na kuandika ni dhahiri kwamba unaweza kuingia kwene mtandao na kujifunza zaidi. Ukimaliza Actuarial Degree utahitajika kufanya Professional papers ili upate certification, baada ya hizo certification exams wao watakupa muongozo wa jinsi ya kutumia huo ujuzi pamoja na recommended salaries au service fees.
 
Acturial science haina graduates wengi ila wanapokea 25 students mara nyingi apa udsm... Kuna class wapo zaidi ni 27 third year. Ila competition kwenye kuchaguliwa ipo, first year apa kwa nnaowajua walipata 1 ya 6 last year wengne sijui walipataje.Nashare nao course za statistics... Ni course nzuri na pia graduates ni wachache kama ulivoelezwa apo juu hawazidi 100..
 
My first choice was Actuarial Sciences ila competition ilinitoa nikabaki huku kwenye economics and statistics. Subiri matokeo, I know u will make it. Go for it.
 
ok..nimechukua namba yako.. omba tu Mungu akusaidie tokeo liwe zuri hizo kozi ni nzuri saana.. ukizingatia Hiyo geomatics IPO ardhi tuu.. among of very exceptional course..0712492799
 
Thanks mkuu.. fingers crossed and praying hard..hopefully i will make it
 
Back
Top Bottom