Ushauri kuhusu Actuarial Science na Geomatics

Ushauri kuhusu Actuarial Science na Geomatics

Salam Wakuu.. Naombeni ushauri kuhusu hizo course mbili tajwa hapo juu ikiwa ni pamoja na requirments, vyuo hapa tz vinavyotoa, competition kuzipata, na soko la ajira.. Natanguliza shukrani zangu za dhati..
Hii geomatics ipo toka muda mrefu,,,kabla ilikuwa inaitwa LAND SURVEYING
 
My first choice was Actuarial Sciences ila competition ilinitoa nikabaki huku kwenye economics and statistics. Subiri matokeo, I know u will make it. Go for it.

Acturial science haina graduates wengi ila wanapokea 25 students mara nyingi apa udsm... Kuna class wapo zaidi ni 27 third year. Ila competition kwenye kuchaguliwa ipo, first year apa kwa nnaowajua walipata 1 ya 6 last year wengne sijui walipataje.Nashare nao course za statistics... Ni course nzuri na pia graduates ni wachache kama ulivoelezwa apo juu hawazidi 100..

Nashangaa sana watu wanavyosema actuarial haina soko mara haina competition..nakumbuka akati naomba chuo nliweka ya kwanza kabisa, japo nlifaulu maths lakin sikuipata!!! Kwa kifupi kama hujasoma maths hii kozi sahau, na kama huna one kali pia sahau!! Na kama hupendi maths huko sio kwako maana ni maths mwanzo mwisho!!! Nashauri kama mtoa mada kafaul maths basi aeke ya kwanza kabisa!!! Trust me actuarial is still the best hapa tz!!
 
asante mkuu vp upatikanaji wake wa ajira alaf unafanya kazi katika idara zipi?
 
geomatics ni nzuri tuu but cha msingi ni juhudi na tazama uhalisia wa matokeo yako yatakavyokuaa koz hizo course ushindan hatariii.... about actuarial science Sijui Saana ila ni nzuri sana nasikia ..Niko ardhi waweza nitafuta for more info

Mkuu vp kwa kubadilisha kozi hapo ardhi mfano kutoka manicipal and industrial to civil...? hawana magumashi?
 
Nashangaa sana watu wanavyosema actuarial haina soko mara haina competition..nakumbuka akati naomba chuo nliweka ya kwanza kabisa, japo nlifaulu maths lakin sikuipata!!! Kwa kifupi kama hujasoma maths hii kozi sahau, na kama huna one kali pia sahau!! Na kama hupendi maths huko sio kwako maana ni maths mwanzo mwisho!!! Nashauri kama mtoa mada kafaul maths basi aeke ya kwanza kabisa!!! Trust me actuarial is still the best hapa tz!![/QUOTE
Actuarial ni course nzuri sana ila one kali inahitajika hapa.... Na ni mwendo wa namba tu, huwa tunaangaliana usoni tu vipindi vya probability.
 
Ha ha ha....huwa nacheka sana vijana mnavodanganyana...hivi mtu mwenye akili timamu kweli unaenda kusoma Geomatics???
 
Ha ha ha....huwa nacheka sana vijana mnavodanganyana...hivi mtu mwenye akili timamu kweli unaenda kusoma Geomatics???
Ndo mana kaomba ushauri.. Mpe taarifa ili ajue.. Sijui kwanin watu mnakua na dharau ivi... Kwa mtakaochagua na kuchaguliwa ardhi.. Iyo geomatics ni bonge la kozi hutojuta kuipata... Na ni among of priority courses... Tuwe na nidhamu tunapoelekeza ndg na wadog zetu.. Hujui tulia usipotoshe
 
Hakuna coarse mbaya kwa Level ya chuo muhimu ukifanikiwa kuingia chuo upambane haswa uwe na grade nzur(GPA). mawazo ya kwamba chuo bata futa kichwan
 
Salam Wakuu.. Naombeni ushauri kuhusu hizo course mbili tajwa hapo juu ikiwa ni pamoja na requirments, vyuo hapa tz vinavyotoa, competition kuzipata, na soko la ajira.. Natanguliza shukrani zangu za dhati..

dogo kasome actuarial achana na Geomatics haina issue.
 
Ha ha ha....huwa nacheka sana vijana mnavodanganyana...hivi mtu mwenye akili timamu kweli unaenda kusoma Geomatics???

we mbiga c unasoma vertinary medicine..unakwenda kutibu mbwa na paka..sasa bora nani?kama huijui geomatics bora ukae kimya tu usiropokr hapa maana ww umeshakua mtu mzima
 
  • Thanks
Reactions: 7ve
Geomatics inapatikana Ardhi morogoro....pia ardhi mbezi beach...kwa stashahada.. but ardhi moro iko vizuri zaidi practically....
 
Back
Top Bottom