Dickmadegwa
Member
- Aug 26, 2014
- 27
- 7
Wakuu naombeni kuulizi
Bosi wangu aliingia chumbani kwangu bila idhini yangu na kupekua ndani baadhi ya documents zangu , hakuishia hapo alipiga na picha kisha akaanza kuwaonesha watu kuwa ndani kwangu kuchafu.
Pamoja na vyote hakulidhika na kuamua kunitumia email yenye picha za chumbani kwangu.
Je nikifungua kesi itakuwa na mashiko?
Pia kesi itakuwa ni ya namna gani?
Na itachukua muda gani mahakamani?