Ushauri kesi ya madai

Dickmadegwa

Member
Aug 26, 2014
27
7
Wakuu naombeni kuulizi
Bosi wangu aliingia chumbani kwangu bila idhini yangu na kupekua ndani baadhi ya documents zangu , hakuishia hapo alipiga na picha kisha akaanza kuwaonesha watu kuwa ndani kwangu kuchafu.
Pamoja na vyote hakulidhika na kuamua kunitumia email yenye picha za chumbani kwangu.
Je nikifungua kesi itakuwa na mashiko?
Pia kesi itakuwa ni ya namna gani?
Na itachukua muda gani mahakamani?
 
Aisee pole sana mzee.

Ngoja wataalam waje. Ila hiyo kesi utashinda kwasababu ushahidi wa e-mail unao.
 
kuchelewa kwako ndio kukosa kwako haki, maana kesi za madau zina kikomo, wahi haraka kusanya ushahidi na vielelezo vya kutosha umfungulie mashtaka
 
Bosi wako aliingia chumbani kwako??
Kwenye nyumba yake au yako?

Wewe ni me au ke?

Mlianzia wapi mpaka kufikia huko?

Kuna kitu hakipo sawa...


Cc: mahondaw
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom