Ushauri kati ya IPHONE 6 Plus na Samsung galaxy A8

mkuu oneplus na xiaomi na wachina wazuri wazuri huwa hawauzi simu madukani, mara nyingi huuza zaidi online. ukizikuta madukani ni mtu kanunua kazieka, na bei huongezeka. hapo kama una mfanyabiashara anaeenda nje unamjua muagizie.

kuhusu A8 ni kwamba A series zote bei zake ni ghali kuliko specs zake. ni simu premium, wamelenga watu wanaopenda muonekano zaidi kuliko specification.
Hii ni kweli aisee... niliishika A8 ya 2017 muonekano wake ni kiboko
 
Mkuu nami nilitaka mwambia hivyo... ila kiukweli iphone 6 plus ni hovyo sana hasa camera yake haiipati hata galaxy S5
probably s5 ina camera nzuri kuliko A8 pia, sababu usisahau s5 ilikuwa ni flagship na A8 ilikuwa ni midrange na hazijatofautiana sana kutoka 2014 na 2015
 
mkuu oneplus na xiaomi na wachina wazuri wazuri huwa hawauzi simu madukani, mara nyingi huuza zaidi online. ukizikuta madukani ni mtu kanunua kazieka, na bei huongezeka. hapo kama una mfanyabiashara anaeenda nje unamjua muagizie.

kuhusu A8 ni kwamba A series zote bei zake ni ghali kuliko specs zake. ni simu premium, wamelenga watu wanaopenda muonekano zaidi kuliko specification.
Nimekuelewa mkuu
Shukrani sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom