Samsung S10 vs iPhone 7+

Zombie S2KIZZY

JF-Expert Member
Mar 15, 2021
823
1,613
Wakuu

Nina jambo Hapa niwaulizeni hivi kati ya Samsung Galaxy S10 na iphone 7+
Ipi ni sim Kali kuanzia storag ,ram ,camera nk
Maana naona hiv vitoto vnashobokea Sana iphone
Anyway binafsi Samsung nazchukuliaga ni zakibaba Ila iphone ni za vidada
Labda kwanzia 11 kwnda juu hzo n zakibabee
Oky achana na hyo story nataka mitazamo yenu kati ya mnyama S10 na mrembo i7+ nani Yuko vzur kulko mwnzie
Maana kuna kijitu huku ni kibishi aisee
 
Ooh! kumbe
emoji56.png
[emo

Ooh! kumbe
Imekuingia vizuri eeh
Sasa tulia nipump vzr
 
Hizo simu ni tech tofauti kabisa s10 sio ya kuipambanisha hata na x iko na tech ya juu zaidi kila idara.ila kwa bei zinaweza lingana.

7plus wenzake ni s7 huko at least.
So kama bajeti yako ni laki nne na kitu chukua samsung s10 hiyo.
 
Kwa usalama wa pesa zako acha kucheza kamali na hizo simu katafute simu mpya ya bei hiyo sana sana Chinese brand kina Redmi,oppo, infinix,vivo,poco utapata simu nzuri ya baridiii isiopata moto wala kuisha chaji haraka zingatia kadisplay kawe ni AMOLED
 
Mkuu mimi nmeshanunua refurb kadhaa, za iphone na samsung. Refurb ziko vizuri tu, labda mtu usiwe mtunzaji mzuri.
 
Kwa usalama wa pesa zako acha kucheza kamali na hizo simu katafute simu mpya ya bei hiyo sana sana Chinese brand kina Redmi,oppo, infinix,vivo,poco utapata simu nzuri ya baridiii isiopata moto wala kuisha chaji haraka zingatia kadisplay kawe ni AMOLED
Nani alikudanganya simu zenye snapdragon zinachemka,hapa natumia s10 5g ina miezi 2 haijawahi kchemka hata mara moja.mimi siku zote nanunua simu used na hazijawahi kuniangusa
 
Nani alikudanganya simu zenye snapdragon zinachemka,hapa natumia s10 5g ina miezi 2 haijawahi kchemka hata mara moja.mimi siku zote nanunua simu used na hazijawahi kuniangusa
Simu zinazotumia Qualcomm Snapdragon 8 Gen 1 zinaoverheat lakini sio kila simu yenye Snapdragon inaoverheat. Lakini hata simu za MediaTek nazo kuna baadhi zina shida ya overheating, mfano Xiaomi Redmi Note 10S (sio plain) inatumia chipset ya MediaTek Helio G95 na inaoverheat
Pia sometimes overheating inategemea na matumizi mfano Redmi 10 inatumia MediaTek Helio G88 na haina shida ya overheating ukifanyia mambo ya kawaida lakini ukicheza heavy games inaoverheat balaa, na ukicheza light games hai-overheat
Kwa hiyo hatuwezi kusema simu za Snapdragon kiujumla zinaoverheat, Ila inapaswa uwe specific ni chipset gani ina shida hiyo.

Pia kuna uwezekano S10 unayotumia isiwe na Snapdragon, inawezekana inatumia chipset ya Samsung Exynos

All in all sijawahi kusikia kuwa S10 inaoverheat, zipo normal tu
 
Back
Top Bottom