Ushauri: Kabeba mimba ya mume wa mtu, afanyaje?

Ushauri: Kabeba mimba ya mume wa mtu, afanyaje?

Kwani alitaka abebe mimba ya mke wa mtu???
 
Sijaona ushauri upi anataka kwa sababu mwenye mzigo ashakataa yeye kama analea alee yeye kama yeye
 
Azae mtoto....dunia ya sasa ni rahisi sana kumwajibisha mwanaume, kwasababu ya hizi taasisi za kutetetea haki.....

Akishazaa nakuhakikishia akiamua kumwajibisha huyo mwanaume alee mtoto, hakuna kitakachofeli 100%
Kwa nini umuwajibishe ikiwa yeye tangu mwanzo alikuwa hataki mtoto,
 
Azae mtoto....dunia ya sasa ni rahisi sana kumwajibisha mwanaume, kwasababu ya hizi taasisi za kutetetea haki.....

Akishazaa nakuhakikishia akiamua kumwajibisha huyo mwanaume alee mtoto, hakuna kitakachofeli 100%

Unamdanganya mwenzio?

Kwani walikubaliana kuzaa?

Mambo ya kutegeana mimba ili kufanya kitega uchumi nani anayataka?
 
Mi nakushauri tu toa,utatubu muache kaka wa watu na familia yake
 
Huu msemo ambao umewatawala wanawake walio wengi eti " mme wa mtu anajua kutunza" ndio unawaponza na wengi wamekuwa Masingle mother na kupigwa chini.
 
Back
Top Bottom