Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,802
- 33,438
Maswali ya kijinga kama haya,hivi MTU mzima wote huyo Mwanamke na Mwanaume unafanya ngono bila mpira si unajua chochote kinaweza kutokea.
Sasa ushauri wa nini,faida ya kujamiana ni kuongeza Idadi ya watu duniani.
Sasa ushauri wa nini,faida ya kujamiana ni kuongeza Idadi ya watu duniani.