RealMan
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 2,367
- 1,388
Nyati ushauri wangu uko namna hii:
Kama unanunua tiles kwa ajili ya nyumba yako basi sehemu zenye kutumika zaidi jipinde uweke kigae chenye ubora.
Ila kwa vile wataka maduka yenye kuuza tiles nzuri za kichina (wanaita gredi wani) nenda C&G wako Old Bagamoyo road kwa Warioba (kushoto kama wenda Kawe). Bei zao powa sana.
Tanga stones kwa ndani unahitaji fundi mzuri saaaana otherwise sebule itafanana na Pub/Bar.