Ushauri juu ya marumaru (tiles )

Mkuu, kama tiles zinakupasua kichwa, tumia "wood flooring". ni bora na rahisi kuliko hizo tiles na zinapatikana hapo DSM.

tatizo la wood flooring (parquet) kwa uwanda wa pwani ni mchanga ..... mchanga husugua na kutengeneza scratches kwenye mbao hizi ..... unless unafanya treatenent ya clear coat mara kwa mara na sanding ya mbao mara kwa mara
 
pamoja na kutoa harufu ikipata unyevunyevu kwa muda mrefu, rafiki mzuri wa mende, ikitokea ajali ndogo ya moto vinageuka kuni
 
Asante mkuu kwa taarifa. Kwenye nyekundu, hawa mafundi wetu wa mitaani wanazifahamu hizo terminologies kweli? Au wao huwa ni kupuyanga tukutokana na uzoefu wao?

Mafundi wazoefu wanazifahamu, ila wanaziiogopa kwa sababu ni time consuming, kama unafaham nini kinafanyika unamsisitizia fundi ili asikuharibie kazi, mara nyingi watakwambia bei ya kulay inapanda kidogo lakn haina shida kama unataka ubora. Mafundi wa uswahilini wanaokoa sana pesa kwa sababu bei zao ni nafuu, cha muhimu uone sample ya kazi alizowahi kufanya!
 
Spanish Tiles and Sanitary Ware ..... Victoria karibu na sub station ya Tanesco .... good quality Spanish tiles .... ceramic, porcelain, granite both polished, rough, non slippery and mat finish

also mosaic tiles are available

kikubwa pia katika tiles ni urefu na upana uwe precisely equal .... kama upande mmoja ni umezidi mwingine kwa 2 millimeters italeta shida kwenye laying (kujenga) hii itasababisha joints na corners zitofautiane

pia katika kuweka tiles pattern ni kitu muhimu sana .... kuna aina nyingi za pattern .. kuna basket type, herringbone, staggered, zig zag etc

pia ni muhimu kutumia proprietary spacers wakati wakujenga both floor and wall tiles

Mkuu hebu toa somo zaidi hapa. Umuhimu wa patter katika kuweka tiles ni nini? Katika hizo patterns ulizotaja ipi ni nzuri zaidi? Na hiyo kwenye nyekundu maana yeke nini hasa? Asante.
 
Mkuu hebu toa somo zaidi hapa. Umuhimu wa patter katika kuweka tiles ni nini? Katika hizo patterns ulizotaja ipi ni nzuri zaidi? Na hiyo kwenye nyekundu maana yeke nini hasa? Asante.

mkuu

kwanza kabisa patern ya tiles ndiyo inayoleta naksi au decoration katika floor au wall ... pili umuhimu wa aina ya patern ni kutokana na kigezo cha size ya room au space unayoweka tiles ..... tiles kuwa huwekwa kwa kwa patern ambayo ni Flemish .... na huwekwa kwenye maeneo (space/room) kubwa kubwa .... tiles zasize ndogo ndogo au medium (30x30mm, 40x40mm) hizi ndizo zinawekwa kwa kutumia patern za kunaksi kama basket type ... hii huwekwa kama mtu aliyesuka kikapu au heringbone yaani kama mfupa wa kati wa samaki ... spacers ni muhimu sana kwani ndizo zinazozingatia spacing joint size between tiles kuna joints ndogo ndogo na nyingine pia ni kubwa ... ili kuwa na uniformity ya joints basi unabidi kutumia spacers ..... hii piaitafanya application ya grout kuwa na ubora

ahsante
 
Mkuu ulipotaja Monalisa kuna kitu umenikumbusha. Hivi hawa jamaa wako katika kundi gani? Ni wafanyabiashara wa kawaida au ni wawekezaji? Je wawekezaji wanapashwa kuweka hesabu sahihi za transaction zao? Nauliza hivyo kwa kuwa nilielekezwa kwenda hapo Monalisa na jamaa yangu kwenda kununua board fulani kwa ajili ya ujenzi. Tulikubaliana bei na nililipa pale. Walinipa kikaratasi kimeandikwa kwa lugha ya kichina na kunielekeza kwenda Chang'ombe kwenye godown lao kupakia mzigo. Nilipofika Godown, niliwaonyesha hicho kikaratasi na wao walinipa huo mzigo. Delivery note waliyoniandikia pale godown, ilionyesha kwamba nimenunua huo mzigo katika duka fulani la hardware kariakoo. Pesa nilizolipa karibu 15M sikupewa receipt wala nini.

Kwa mtindo huu hawa jamaa si wanakwepa ushuru? Hata VAT hawalipi kwani malipo yangu hayakuwa na receipt.

Je kuna mwingine hapa JF aliyewahi kukutana na ujanja wa hawa wachina?

Tiba

Tiba naona kama unauelewa mkubwa wa ujanja huu wanaofanya wachina kukwepa kodi ila nimeshangaa kuwa pamoja na uelewa huo haukuchukua hatua badala yake umekuja kulalamika hapa JF. Watanzania jamani tujitahidi kuchukua hatua kwa mambo kama haya yaliyo chini ya uwezo wetu. Binafsi nilimewahi kuhimiza mara mbili tofauti mpaka nikaandikiwa stakabadhi ya kiingereza na yenye bei halisi. Hongera Parachich kwa angalau hatua uliyochukua. Tafadhali tuchukue hatua kila tunapoweza
 
Hawa Monalisa ni wezi hasa ktk kodi usipokuwa makini hupati risiti, nilikwenda pale kwa ajili ya kununua furnitures nikapewa mtu wa kwenda naye huko kwenye godown yao chang'ombe kwani zilikuwa nyingi kiasi, nikapewa mzigo bila risiti tulisumbuana mpaka tukarudi tena show room kwao kwa ajili ya risiti.
 
Mimi siku izi ata nikinunua kitu cha 100mil sidai electronic receipt bse najua iyo ela inaenda liwa na wajanja tuu kuanzia mishahara mikubwa mpaka posho za kila leo!
Mpaka TRA wakianza kuwa serious na ukusanyaji kodi ndo labda ntakuwa na moyo.
Top ten tax payers hakuna mgodi ata mmoja?Yaani Tigo na Konyagi wanalipa kodi zaidi ya wachimba zahabu!
 
Mkuu angalia upya hiyo orodha kuna mgodi wa Resolute kwenye hiyo kumi bora. Hawa ni wa Australia labda wao walituhurumia wakakataa kusaini mkataba wa kinyonyaji kama hao Wakanada wa Barick. Ila cha kushangaza ni kuona Airtel wamo wakati Vodacom hawamo ili hali ndo kampuni kubwa zaidi (Sababu hapa nikuwa kuna akina Rostam na Lowasa huko). Ila mabadiliko yanaanza na wewe namimi. Kuwa tu mwaminifu upande wako na usikubali kuzishiriki dhambi za watu wengine. Kwa kufanya hivyo unaambukiza tabia ya uaminifu kwa kizazi kijacho.
 
mkuu

kwanza kabisa patern ya tiles ndiyo inayoleta naksi au decoration katika floor au wall ... pili umuhimu wa aina ya patern ni kutokana na kigezo cha size ya room au space unayoweka tiles ..... tiles kuwa huwekwa kwa kwa patern ambayo ni Flemish .... na huwekwa kwenye maeneo (space/room) kubwa kubwa .... tiles zasize ndogo ndogo au medium (30x30mm, 40x40mm) hizi ndizo zinawekwa kwa kutumia patern za kunaksi kama basket type ... hii huwekwa kama mtu aliyesuka kikapu au heringbone yaani kama mfupa wa kati wa samaki ... spacers ni muhimu sana kwani ndizo zinazozingatia spacing joint size between tiles kuna joints ndogo ndogo na nyingine pia ni kubwa ... ili kuwa na uniformity ya joints basi unabidi kutumia spacers ..... hii piaitafanya application ya grout kuwa na ubora

ahsante

Mkuu LAT,
Asante kwa somo
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Mkuu,itakuwa na tatizo nikiweka Granite Ukutani??

Mkuu sidhani kama hata watengenezaji wanatengeneza granite kwa ajili ya ukutani, naonaga ceramic tu. Granite ni kwa ajili ya sakafuni japo nazo zinaaza kupungua nyingi zinakuwa porcelain. Kama kuna mtu anafahamu zaidi juu ya hili atuambie.
 
Na mimi nilinunua white ceramic tiles mwaka 2008 hapo hapo GoodOne store Kariakoo swahili street na kwa kweli bado quality yake iko nzuri sana (whole house) as if nimeziweka recently hazijapauka/chujuka au kuwa na scratches bado na.. na bei yake ilikuwa nzuri tu ila sijui kwa sasa.

Good experience. Itabidi tu nami nikaziokote hizo za Kichina maana hizi za Kihispania zinaumiza kichwa kwa mahesabu.
 
Spanish Tiles and Sanitary Ware ..... Victoria karibu na sub station ya Tanesco .... good quality Spanish tiles .... ceramic, porcelain, granite both polished, rough, non slippery and mat finish

also mosaic tiles are available

Mkuu LAT una namba za simu za hawa jamaa?
 
Hakuna Tiles za Grade 1 za china Kariakoo ila granite zipo but si grade 1
 
Hakuna Tiles za Grade 1 za china Kariakoo ila granite zipo but si grade 1

Mkuu GoodOne walioko Kariakoo mtaa wa Swahili, wana tiles za kichina zenye quality nzuri sana, nzuri na za kawaida. Zile nzuri sana ndo wao wanaziita grade 1.
 
Back
Top Bottom